-
Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno
Jul 19, 2020 02:49Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala inayomkosoa vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kueleza kuwa, mwanasiasa huyo ni kirusi hatari mno.
-
Ukosoaji mkali wa Askofu Mkuu wa Baitul-Muqaddas dhidi ya siasa za utawala wa Kizayuni za kuiyahudisha Quds
Mar 12, 2019 02:46Atallah Hanna, Askafu Mkuu wa Kanisa la Orthodox katika mji wa Baitul-Muqaddas, amesisitiza kwamba mradi wa utawala haramu wa Israel wa kuuyahudisha mji wa Quds, ni jinai kubwa.
-
Jamii ya kimataifa yaendelea kuilaani Israel kwa kupora ardhi zaidi za Palestina
Mar 19, 2016 03:33Umoja wa Ulaya umejiunga na Umoja wa Mataifa katika kulaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupora ardhi zaidi za Wapalestina.