-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 06:54Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Kiongozi Muadhamu awatakia kheri Wakristo katika sherehe zao za X-Mass
Dec 26, 2020 02:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewatumia ujumbe Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla akiwatakia kheri katika sherehe zao wa X-Mass.
-
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran atuma salamu za heri ya Krismasi na mwaka mpya
Dec 25, 2019 02:54Mkuu wa Kamandi ya Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu makamanda wa ngazi za juu wa majeshi ya nchi za Wakristo duniani kwa munasaba wa siku kuu ya kuadhmisha kuzaliwa Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake) maarufu kama Krismasi.
-
Salamu za Rais wa Iran kwa munasaba wa uzawa wa Nabii Isa AS
Dec 25, 2018 06:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ametuma salamu kwa viongozi wa nchi za Wakristo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani kwa mnasaba wa sherehe zao za kumbukumbu ya kuzaliwa Nabi Isa AS na mwaka mpya 2019 Miladia.