-
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Oct 25, 2022 07:29Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka
Oct 07, 2022 08:12Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema, harakati hiyo ya muqawama itatumia nguvu za kijeshi iwapo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utaamua kuchimba mafuta na gesi kabla ya kufikia makubaliano na Lebanon juu ya maeneo ya mpaka wa baharini zinayozozania.
-
Jumblatt na Netanyahu: Israel imesalimu amri kwa Hizbullah ya Lebanon
Oct 04, 2022 08:01Kiongozi wa Chama cha Maendeleo cha Kisoshalisti cha Wadruzi wa Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel umesalimu amri kwa nguvu za Hizbullah katika kadhia ya uchoraji mipaka ya baharini.
-
Lebanon na Israel zakaribia kufikia makubaliano ya kuweka mipaka ya baharini
Oct 04, 2022 02:49Taarifa zinaonyesha kuwa rasimu ya mwisho iliyopokelewa kutoka upande wa Marekani kuhusu kuainisha mipaka ya bahari ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel itapelekea kupunguzwa tofauti kati ya pande hizo mbili.
-
Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote
Aug 31, 2022 21:56Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, misimamo ya Imamu Musa Sadr ni chemchemi ya ilhamu kwa Walebanon wote ili wafanye juhudi kwa ajili ya ukombozi wa nchi na watu wake.
-
Kuendelea mkwamo wa kisiasa nchini Lebanon
Aug 27, 2022 20:51Licha ya kupita zaidi ya miezi miwili tangu kuteuliwa Najib Mikati kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, lakini hadi sasa nchi hiyo ingali inakabiliwa na mkwamo wa kisiasa hususan kuhusiana na uundwaji wa serikali.
-
UN yatoa mwito wa kuanza uchunguzi wa kimataifa kuhusu mripuko wa bandari ya Beirut
Aug 04, 2022 06:51Samamba na kutimia mwaka wa pili tangu ulipotokea mripuko katika bandari ya Beirut, Lebanon, Umoja wa Mataifa umetoa taarifa ya kutaka uanze kufanyika uchunguzi wa kimataifa kubaini chanzo cha tukio hilo.
-
Sheikh Naim Qassem: Israel haina budi kutambua rasmi haki za maliasili za Lebanon
Jul 31, 2022 07:04Naibu Katibu MKuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hauna budi kuzitambua rasmi haki za Lebanon zinazohusiana na utajiri wa maliasili za baharini.
-
Vita vya Siku 33; mabadiliko muhimu na makubwa kwa Muqawama katika muundo wa kisiasa na kiusalama Asia Magharibi
Jul 15, 2022 04:19Miaka 16 imepita tangu vilipopiganwa vita vya mwaka 2006 vilivyoanzishwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Rais wa Lebanon: Karibu tutafikia mwafaka na Israel juu ya uainishaji mipaka ya baharini
Jul 07, 2022 06:54Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa, karibuni hivi suala la uanishaji mipaka ya baharini baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel litapatiwa ufumbuzi na kwamba njia hiyo ya utatuzi wa mzozo huo itaridhiwa na pande zote.