-
Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake
Feb 24, 2022 07:30Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.
-
Russia yazitambua rasmi Jamhuri za Donetsk na Luhansk kama nchi huru
Feb 22, 2022 03:41Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa Moscow imetambua rasmi uhuru wa Jamhuri za watu wa Donetsk na Luhansk na tayari amesaini mikataba ya ushirikiano na urafiki na viongozi wa jamhuri mbili hizo katika ikulu ya Kremlin.