-
Yemen: Kupiga marufuku Hamas na Jihad Islami kunaonyesha jinsi Ulaya inavyoukingia kifua Uzayuni wa kimataifa.
Jun 01, 2026 09:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imelaani vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuimarisha vikwazo dhidi ya harakati za ukombozi wa Palestina, Hamas na Jihad Islami, ikiitaja kuwa ni ishara ya utiifu kwa Uzayuni wa kimataifa.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemeni: Ansarullah iko ‘bega kwa bega’ na Hizbullah dhidi ya Israel
May 17, 2026 02:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema harakati ya muqawama ya nchi hiyo Ansarullah iko "bega kwa bega" na harakati ya mapambano ya Lebanon Hizbullah katika kukukabiliana na njama na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Wakazi wa Al Mahrah, Yemen wapambana vikali na vibaraka wa Saudia
Mar 13, 2019 10:20Watu wa makabila ya mkoa wa Al Mahrah nchini Yemen, wamepambana vikali na msafara wa malori yaliyobeba zana za kijeshi za Saudi Arabia.
-
UN yapeleka Yemen dawa ambazo muda wake wa matumizi umepita kutibu wagonjwa wa kipindupindu
Aug 06, 2017 23:14Mwakilishi wa Wizara ya Afya ya Yemen amesema, kwa mujibu wa taarifa za kuaminika, Umoja wa Mataifa unaepeleka nchini humo dawa ambazo muda wake wa matumizi umepita ili kutibu wagonjwa wa kipindupindu.
-
Kuendelea mashambulizi dhidi ya Yemen na uwezekano mdogo wa kufanyika mazungumzo ya amani
Feb 05, 2016 03:41Huku mapigano katika maeneo tofauti ya Yemen yakipamba moto, Saudi Arabia imeendelea kukwamisha juhudi za kidiplomasia za kuutatua kisiasa mgogoro huo, suala ambalo limewafanya wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa kusema kuwa, ni jambo lililo mbali kufikiria kufanyika mazungumzo hayo katika siku za hivi karibuni.