-
Yemen: Madai ya uongo ya Saudia ya kushambuliwa Makka ni ishara ya kushindwa muungano vamizi
Oct 31, 2016 07:34Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema madai ya Saudi Arabia kwamba Sana'a imeushambulia kwa kombora mji mtakatifu wa Makka ni ishara ya kushindwa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Riyadh pamoja na waitifaki wake.
-
18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka
Jul 02, 2016 13:29Waislamu 18 waliokuwa katika Ibada ya Umrah wamejeruhiwa kufuatia msongamano mkubwa katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, miezi sita tu baad aya maelfu kupoteza maisha katika Ibada ya Hija mwaka jana.
-
Wafanyakazi wa Binladin wateketeza mabasi Makka
May 01, 2016 14:15Wafanyakazi wa shirika kubwa la ujenzi la Binladin wameteketeza mabasi kadhaa katika mji mtakatifu wa Makka.