-
Polisi ya Malawi yamkamata 'Fisi' aliyenajisi watoto, Rais Mutharika aamuru achunguzwe
Jul 26, 2016 12:25Polisi ya Malawi imemtia nguvuni 'fisi' aliyekuwa akiwanajisi watoto wadogo kwa madai ya kuwasafisha au kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula Malawi
May 25, 2016 23:56Serikali ya Malawi imesema kuwa, zaidi ya watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula nchni humo.
-
Watu wenye ulemavu wa ngozi Malawi katika hatari ya kuangamizwa kikamilifu
May 01, 2016 09:56Watu wenye ulemavu wa ngozi au albino nchini Malawi wanakabiliwa na hatari ya kuangamizwa kikamilifu kutokana na kuongezeka vitendo vya hujuma dhidi yao nchini humo.