-
Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni
Feb 07, 2022 12:51Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.
-
Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu
Jan 30, 2021 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu."
-
Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa
Dec 14, 2020 04:50Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Brigedia Jenerali Dehqan: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalitoa pigo la kihistoria dhidi ya Marekani
Sep 24, 2020 12:03Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalikuwa pigo kubwa zaidi la kihistoria dhidi ya Marekani na yaliinasua nchi hii kutoka katika makucha ya ukoloni wa Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam Khomeini
Jun 04, 2020 07:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini.
-
Sheikh Isa Qassim: Umma wa Kiislamu una wajibu wa kulinda Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 04, 2020 07:38Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (MA) yanafanana na ya Mitume na kusisitiza kwamba umma wote wa Kiislamu una wajibu wa kuyalinda mapinduzi hayo.
-
Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui
Feb 11, 2020 12:18Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.
-
Taifa la Iran laadhimisha miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2020 12:09Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza mabarabarani katika miji na vijiji vya nchi hii kushiriki matembezi ya Bahman 22, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Hakim: Mapinduzi ya Kiislamu yaliibua mlingano mpya katika eneo
Feb 11, 2020 04:45Mwenyekiti wa Mrengo wa Kitaifa wa Hikmat nchini Iraq amesema, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA yameweza kuvunja njama zote za maadui dhidi ya Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita sambamba na kuibua mlingano mpya katika eneo la Asia Magharibi na dunia nzima kwa ujumla.
-
Velayati: Mapinduzi ya Kiislamu yamepiga hatua kubwa ndani ya miaka 40
Feb 10, 2020 12:49Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, taifa hili limepata mafanikio mengi katika nyuga za kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya miongo minne ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.