-
Velayati: Mapinduzi ya Kiislamu yamepiga hatua kubwa ndani ya miaka 40
Feb 10, 2020 12:49Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, taifa hili limepata mafanikio mengi katika nyuga za kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya miongo minne ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bahman 12; Kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi; dhihirisho la umoja na mshikamano wa taifa la Iran
Feb 01, 2020 11:17Leo Jumamosi tarehe 12 mwezi Bahman sawa na Februari Mosi ni siku ya kuanza alfajiri kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutotosheka na mafanikio ya sasa ya kisayansi nchini Iran
Aug 08, 2019 07:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi alikutana na vijana kadhaa wasomi bingwa wenye vipaji ambao wamepata medali katika Olimpiadi za kimataifa za sayansi na pia vijana wa timu ya taifa ya voliboli (mpira wa wavu) ya Iran ambao wamefika katika kilele cha mchezo huo duniani. Katika kikao hicho, aliwapongeza vijana hao kutokana na uhodari, umahiri na busara yao na kusistiza kuwa, njia hiyo ya utaalamu bingwa haipaswi kuwa na kikomo.
-
'Hakuna dola lolote linaloweza kuidhuru Iran'
Mar 06, 2019 02:53Msaidizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hakuna dola lolote nje ya eneo linaloweza kuidhuru Iran."
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; "Hatua ya Pili ya Mapinduzi"
Feb 14, 2019 10:05Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 40 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuingia Jamhuri ya Kiislamu katika ukurasa mpya wa uhai wake, Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatano alitoa ujumbe muhimu sana kwa taifa la Iran ambapo aliwashukuru wananchi wa kujitokeza kwa wingi na kumsambaratisha adui katika matembezi ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu 22 Bahram (11 Februari) .
-
Kiongozi Muadhamu atoa ujumbe muhimu kwa taifa kuhusu awamu ya pili ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 13, 2019 16:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, leo ametoa ujumbe muhimu sana kwa taifa la Iran kwa jina la "Awamu ya Pili ya Mapinduzi" kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bahman 22 katika miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 17:21Leo Jumatatu tarehe 11 Februari 2019 ambayo imesadifiana na tarehe 22 Bahman 1397 kwa mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, ni siku ambayo zimefikia kileleni sherehe za miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda zana za ulinzi + Picha
Feb 11, 2019 14:24Rais Hassan Rouhani amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiombi na wala haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda aina mbali mbali za makombora na zana za ulinzi; na itaendelea kufuata njia yake kwa nguvu na uwezo kamili.
-
CNN: Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani
Feb 11, 2019 14:23Kanali ya televisheni ya CNN ya Marekani ambayo imeyaakisi maandamano ya leo ya Bahman 22 (Februari 11) ya mjini Tehran ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, imeeleza katika ripoti yake kuwa, Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 08:06Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.