-
Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 02:48Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
'Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamesimama imara'
Feb 02, 2019 02:48Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria njama za maadui dhidi ya Iran na kusema: "Pamoja na kuwepo uhasama wote huo, lakini Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama imara na yanaendelea kupata nguvu na izza."
-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yaliyashinda madola ya kibeberu kwa kusimama kidete wananchi
Jan 30, 2019 14:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hayati Imam Ruhullah Khomeini ni mhuishaji mkubwa zaidi wa dini katika zama za sasa na ndiye mhandisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi dhidi ya madola ya kibeberu kutokana na kusimama kidete kwa wananchi.
-
Larijani: Mapinduzi ya Kiislamu ni mafanikio makubwa ya karne
Jan 22, 2019 14:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Bunge la Iran, amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni mafanikio makubwa ya karne.
-
Brigedia Jenerali Salami: Iran imeisababishia matatizo mengi kambi ya kibeberu
Dec 29, 2018 16:23Katika wakati huu wa kuelekea kwenye Bahman 22, (Februari 11), siku zinapofikia kileleni sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Naibu wa Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran ni kgezo cha utekelezaji wa fikra ya siasa katika Uislamu kwa ajili ya kuleta mabadiliko katika uhusiano wa kimataifa, kigezo ambacho kimeuletea matatizo makubwa mfumo wa kibeberu.
-
Ugaidi na kukaririwa njama zilizofeli za waungaji mkono ugaidi
Dec 07, 2018 12:20Nchi za Magharibi na baadhi ya tawala za kiimla na vibaraka wao katika eneo la Mashariki ya Kati tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran zimekuwa zikiyaunga mkono na kuyasaidia makundi ya kigaidi kwa shabaha ya kutoa pigo kwa taifa la Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Fikisheni ujumbe wa kisiasa wa Hija kwa Waislamu
Oct 01, 2018 15:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu adhuhuri ya leo amekutana na kuzungumza na maafisa wanaosimamia ibada ya Hija wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Jannati: Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu
Sep 26, 2018 13:50Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 14:18Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jul 09, 2018 14:07Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la tawala za kibeberu duniani ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu.