-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 08:22Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Uchambuzi wa mienendo ya Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: "Wewe Trump! Unayoyafanya ni upumbavu mtupu."
May 10, 2018 08:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, jana Jumatano tarehe 9 Mei alitembelea Chuo Kikuu cha Walimu kwa mnasaba wa Wiki ya Mwalimu.
-
Kiongozi: Msiziamini nchi 3 za Ulaya katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 14:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria baadhi ya matamshi kuhusu Iran kuendelea kuwepo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na nchi tatu za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuhusu kufanya mazungumzo na nchi tatu za Ulaya, haipaswi kuziamiani na katika kila mapatano lazima kuwepo dhamana ya kweli na ya kivitendo la sivyo haiwezekani kuendelea kwa hali iliyopo."
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui
May 01, 2018 07:16Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Ulimwenguni kwamba kuna udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui.
-
Kiongozi: Mguu wa Marekani utakatwa katika eneo
Apr 30, 2018 12:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, "yule ambaye anapaswa kuondoka eneo la Asia Magharibi ni Mmarekani na wala sio Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kama nilivyosema miaka kadhaa iliyopita, zama za utumiaji mabavu zimefika ukingoni."
-
Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 13, 2018 16:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mapinduzi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."
-
Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu; "Kujitawala, Kuwa Huru, Jamhuri ya Kiislamu"
Feb 11, 2018 15:42Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameingia katika mwaka wake wa 40 wa umri wake wenye baraka tangu yalipopata ushindi siku kama ya leo miaka 39 iliyopita. Ni mapinduzi ambayo, kwa kusimama kwake kidete na imara kukabiliana na ubeberu wa madola makubwa, yameonyesha kuwa yanataka Iran iwe na uhuru wa kweli wa kujitawala; kujitawala ambako kumepatikana kwa kutegemea irada ya wananchi walioungana na kuwa kitu kimoja.
-
Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina
Feb 10, 2018 16:25Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, nchi hii imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina na pia ni nchi yenye taathira chanya zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu
Feb 10, 2018 13:17Hii leo ulimwengu wa Kiislamu ungali una madonda makongwe ambayo yamesababishwa na madola ya kiistikbari kwa Umma wa Kiislamu na muhimu zaidi kati ya madonda hayo ni suala la Palestina na kuendelea siasa za utawala haramu wa Israel za kughusubu ardhi za Waislamu.
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 07:57Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.