-
Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali
Sep 23, 2022 03:33Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Rais Joe Biden wa Marekani aliashiria masuala mbalimbali na kufafanua msimamo wa Washington kuhusu masuala hayo.
-
Ebrahim Raisi: Wapalestina ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi za Palestina
Sep 19, 2022 02:56Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Palestina ndio wenye haki ya kujiamulia wenyewe mustakbali wao na ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi hizo.
-
Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani
Sep 18, 2022 21:55Ripoti ya Seneti ya Marekani kuhusu mpango wa kikatili wa utesaji na kuwahoji washukiwa wa ugaidi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) chini ya anwani "Programu ya Kuhoji Iliyoboreshwa" haitachapishwa kwa sasa.
-
Aghalabu ya Wademocrat wanatilia shaka iwapo Biden atagombea urais 2024
Sep 18, 2022 03:40Akthari ya wafuasi na wanachama wa chama cha Democrat nchini Marekani wametilia shaka uwezekano wa Rais Joe Biden wa nchi hiyo wa kugombea muhula wa pili katika uchaguzi ujao wa rais wa mwaka 2024.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 15, 2022 23:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Marekani yapiga ngoma ya vita kwa kuipa Taiwan 'msaada' wa kijeshi
Sep 15, 2022 23:32Bunge la Seneti la Marekani limepasisha muswada wa sheria inayotaka Taiwan kupewa msaada wa kijeshi wa mabilioni ya dola, hatua inayotazamiwa kuighadhabisha China.
-
Utafiti: Akthari ya Wamarekani wanasema Biden ameligawa taifa
Sep 15, 2022 23:31Aghalabu ya wapigakura nchini Marekani wanaamini kuwa, Rais Joe Biden wa nchi hiyo amewagawa Wamarekani katika utawala wake, badala ya kuwaunganisha.
-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Marekani kuiwekea vikwazo China ili 'kuzuia' kuvamiwa Taiwan
Sep 14, 2022 03:04Marekani imeripotiwa kuwa inatafakari kuiwekea China vikwazo ili kuzuia eti mashambulizi tarajiwa ya kijeshi ya Beijing dhidi ya kisiwa cha Taiwan.
-
Ombi la kuilazimisha Marekani itimize wajibu wake wa uenyeji wa Umoja wa Mataifa
Sep 13, 2022 00:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema katika mahojiano kwamba Marekani na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wana wajibu wa kuhakikisha ushiriki wa wawakilishi wote wa nchi wanachama katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unatimia.