Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11

    Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11

    Sep 12, 2022 03:51

    Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.

  • Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani hawawezi kukidhi mahitaji ya awali ya maisha

    Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani hawawezi kukidhi mahitaji ya awali ya maisha

    Sep 11, 2022 03:13

    Matokeo ya utafiti wa taasisi ya uchunguzi ya Marekani yanaonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya familia za Marekani hazina pato la kutosha kulipia gharama za kimsingi za maisha ya familia zao.

  • Mauzo ya silaha za Marekani yaongezeka katika utawala wa Biden

    Mauzo ya silaha za Marekani yaongezeka katika utawala wa Biden

    Sep 09, 2022 21:53

    Marekani imeendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi, huku mauzo ya silaha za nchi hiyo yakiongezeka mno katika utawala wa Rais Joe Biden.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya vitendo vya Wazayuni huko Palestina

    Wamarekani waandamana dhidi ya vitendo vya Wazayuni huko Palestina

    Sep 09, 2022 07:48

    Wamarekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?

    Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?

    Sep 08, 2022 22:15

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.

  • Moto wa msituni wasababisha maelfu bila ya makazi na kufungwa skuli California

    Moto wa msituni wasababisha maelfu bila ya makazi na kufungwa skuli California

    Sep 07, 2022 03:22

    Moto ulioibuka katika misitu jimboni California nchini Marekani umepelekea maelfu ya watu kusalia bila ya makazi sambamba na kufungwa skuli katika jimbo hilo.

  • Seneta Murray: Demokrasia ipo hatarini nchini Marekani

    Seneta Murray: Demokrasia ipo hatarini nchini Marekani

    Sep 05, 2022 21:44

    Seneta Patty Murray wa Marekani amesema kwamba demokrasia ya nchi hiyo imo hatarini, huku akitetea hotuba tata iliyotolewa na Rais Joe Biden wiki iliyopita.

  • China: Vita vya Ukraine vinaisababishia hasara kubwa Ulaya na kuipatia faida nono Marekani

    China: Vita vya Ukraine vinaisababishia hasara kubwa Ulaya na kuipatia faida nono Marekani

    Sep 03, 2022 21:54

    China imetangaza kuwa Marekani, ambayo ndio msababishaji mkuu wa mgogoro wa Ukraine inafaidika na kuendelea kwa vita katika nchi hiyo.

  • Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Sep 02, 2022 23:56

    Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.

  • Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu

    Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu

    Sep 02, 2022 07:39

    Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, wakati umefika kwa utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kuchukua maamuzi magumu juu ya kuhuishwa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS