-
Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria
Jun 25, 2022 22:02Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.
-
Wamarekani waghadhibishwa na marufuku ya uavyaji mimba nchini humo
Jun 25, 2022 07:08Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, kulalamikia hatua ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo ya kutengua haki ya kuavya mimba.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Jun 24, 2022 22:34Kwa mara nyingine wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mpango wa kusimikwa ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.
-
Mahakama Iran yaitoza US faini ya bilioni 4.3 kwa mauaji ya wanasayansi wa nyuklia
Jun 23, 2022 20:48Mahakama moja nchini Iran imeipata na hatia serikali ya Marekani na makumi ya taasisi na maafisa wa nchi hiyo kwa kuunga mkono na kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mauaji dhidi ya wanasayansi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Taliban yaitaka Marekani iachie fedha za Afghanistan baada ya tetemeko la ardhi lililoua 950
Jun 23, 2022 20:47Kufuatia tetemeko la ardhi lililoua mamia ya watu nchini Afghanistan, serikali ya Taliban nchini humo imeitaka Marekani iachie mabilioni ya dola za Waafghani inazozuilia.
-
Asilimia 43 ya silaha za Marekani zinauzwa kwa nchi za eneo la Asia Magharibi
Jun 21, 2022 09:03Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm SIPRI imetangaza kuwa hadi mwishoni mwa mwaka 2021, kiwango kikubwa cha silaha zinazotengenezwa Marekani imeuzwa kwa nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Jun 18, 2022 21:53Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
"Mifumo ya anga ya US haiwezi kutungua makombora, droni za Yemen"
Jun 18, 2022 07:54Waziri wa Ulinzi wa Yemen amesema mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani haina uwezo wa kuzuia au kutungua makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani za vikosi vya jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Putin: US, EU ziwajibishwe dunia ikitumbukia kwenye baa la njaa
Jun 18, 2022 06:59Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ukoloni mamboleo ndio umesababisha migogoro wa kibinadamu inayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali duniani; na kwamba Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazopaswa kubebeshwa dhima iwapo dunia itatumbukia kwenye baa la njaa.
-
Raisi: Vikwazo vipya vinaonesha Iran ina haki ya kutoiamini Marekani
Jun 17, 2022 07:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani kwa upande mmoja kudai kuwa ina nia ya kweli ya kufanya mazungumzo na Iran na wakati huohuo inatangaza vikwazo vipya dhidi ya taifa hili kwa upande mwingine, inaonesha wazi kuwa Tehran ina haki kutoiamini Washington.