-
Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi
Dec 19, 2021 01:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi iliyopita lilipitisha azimio la kulaani aina zote za ubaguzi wa rangi.
-
Kufichuliwa ujasusi wa kundi la Kizayuni dhidi ya taasisi za Kiislamu nchini Marekani
Dec 17, 2021 23:33Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu CAIR limefichua kuwa, genge moja la maadui wa Uislamu nchini Marekani linashirikiana na mashirika ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na limeunda kanali maalumu ya siri ya kujipenyeza na kufanya ujasusi katika safu za Waislalmu.
-
Hizbullah: Marekani inaongoza vita dhidi ya muqawama Lebanon na Asia Magharibi
Dec 15, 2021 10:27Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaongoza na kusimamia vita dhidi ya muqawama nchini Lebanon na eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulazima wa kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Dec 15, 2021 07:47Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika ripoti yake ya 12 kuhusu mchakato wa utekelezwaji azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama ametangaza kuunga mkono mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 na akasisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya nyuklia vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35
Dec 15, 2021 04:17Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua kusimamisha mazungumzo yake na Marekani kuhusu makubaliano ya kununua ndege za kivita aina ya F-35 zenye thamani ya dola bilioni 23.
-
China: Kizoro cha dai la demokrasia kimefunuka, sura halisi ya Marekani imefichuka
Dec 14, 2021 06:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Marekani haiwezi tena sasa kuwababaisha na kuwapotosha watu.
-
Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria
Dec 13, 2021 09:03Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.
-
Miji 12 mikubwa ya Marekani yavunja rekodi za matukio ya mauaji yanayojiri kila mwaka
Dec 11, 2021 08:32Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, miji 12 mikubwa ya Marekani imevunja rekodi za matukio ya mauaji yanayojiri kila mwaka nchini humo.
-
Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden
Dec 11, 2021 04:47Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.
-
Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi
Dec 10, 2021 23:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, mpango wa Marekani na Israel wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ni hatari kwa usalama na utulivu wa eneo nyeti la Asia Magharibi.