-
"Mgogoro wa Taiwan kuziingiza China na Marekani kwenye Vita vya Tatu vya Dunia"
Oct 11, 2021 23:03Kiongozi mmoja mwandamizi wa Bunge la Russia amesema kuwa, ugomvi uliopo hivi sasa bina ya Marekani na China kuhusu Taiwan unaweza kuzusha mapigano ya kijeshi baina ya nchi hizo mbili na hata kupelekea kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Russia and China: Shughuli za kibaolojia za Marekani zimeuweka hatarini usalama wa dunia
Oct 08, 2021 23:58Russia na China zimetoa taarifa ya pamoja zikikosoa shughuli za vituo vya kibaolojia vya Marekani na kusema vinauweka hatarini usalama wa dunia.
-
Biden akiri kuhusu kubaki nyuma uchumi wa Marekani; dalili ya kuporomoka nchi hiyo
Oct 07, 2021 21:09Akizungumza karibuni katika jimbo la Michigan, Rais Joe Biden wa Marekani amesema nchi nyingine za dunia ziko mbioni kuishinda Marekani katika nyanja nyingi. Amesema licha ya kuwa Marekani bado inauongoza ulimwengu kiuchumi lakini inaendelea kupoteza taratibu nafasi yake hiyo.
-
Hizbullah: Tuna haki ya kuvunja mzingiro wa Marekani dhidi ya Lebanon
Oct 06, 2021 09:26Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la muqawama lina haki ya kutumia njia zote halali kulilinda taifa la Lebanon, na kuvunja vikwazo na mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Saudi Arabia ni kibaraka wa Marekani
Oct 06, 2021 04:45Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Uokovu wa Taifa nchini Yemen amesema kuwa maslahi ya Marekani ndiyo yanayotawala maamuzi ya Saudi Arabia na washirika wake katika suala la kusitisha vita na uvamizi wao dhidi ya taifa la Yemen.
-
Marekani: Tuko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote
Oct 05, 2021 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, nchi yake iko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote yale.
-
Waliouawa na corona Marekani wapindukia laki saba, sababu na athari zake
Oct 04, 2021 01:03Baada ya kupita yapata miaka miwili sasa tangu mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ulipoikumba Marekani, idadi ya Wamarekani waliouawa na virusi hivyo imepindukia laki saba. Katika kipindi cha miezi mitatu na nusu iliyopita pekee zaidi ya Wamarekani laki moja wameaga dunia kutokana na Covid-19 licha ya kiwango kikubwa cha chanjo kilichotolewa nchini humo.
-
Russia: Marekan inawahamishia Afghanistan magaidi wa Daesh
Oct 03, 2021 01:09Naibu Kamanda wa Wilaya ya Kati ya Jeshi la Russia amesema kuwa jeshi la Marekani linawahamisha magaidi walioko Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu
Sep 30, 2021 22:56Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limeeleza katika ripoti yake kwamba, sera za mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu; na Tehran haina hofu yoyote kuhusiana na Marekani.
-
Wasiopiga chanjo wavunjisha tena rekodi ya vifo vya corona Marekani
Sep 30, 2021 02:57Idadi ya watu wanaokufa kutokana na corona nchini Marekani imekuwa ikiongezeka kila siku katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.