-
Guterres azitaka Marekani na Russia kudhibiti silaha zao za nyuklia
Aug 10, 2021 05:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Marekani na Russia akizitaka kudhibiti silaha za nyuklia.
-
Iran: Mauaji ya Hiroshima ni kumbukumbu ya jinai za US dhidi ya binadamu
Aug 08, 2021 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mashambulizi ya mabomu ya atomiki yaliyofanywa na Kikosi cha Anga cha Jeshi la Marekani dhidi ya miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japan katika Vita Vya Pili Vya Dunia ndiyo jinai kubwa zaidi dhidi ya binadamu iliyowahi kuhuhudiwa katika uso wa dunia.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan
Aug 07, 2021 06:58Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.
-
Maseneta wa Marekani wataka kufichuliwa nyaraka zaidi za kuhusika Wasaudia katika mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11
Aug 06, 2021 03:05Maseneta wa Marekani amewasilisha mpango unaotaka kuwekwa wazi zaidi nafasi ya Saudi Arabia katika mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini humo.
-
Rais wa Tunisia ampiga kalamu nyekundu Balozi wa Marekani
Aug 04, 2021 22:03Katika kile kinachoonekana ni kushtadi mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia, Rais Kais Saied wa nchi hiyo ametangaza kumfuta kazi Balozi wa nchi hiyo huko Marekani pamoja na Gavana wa moja ya mikoa ya kistratajia ya nchi hiyo.
-
Silaha zawa adimu kupatikana Marekani kutokana na kukithiri mno idadi ya wanunuzi
Aug 01, 2021 23:26Marekani inakabiliwa na uhaba wa silaha kufuatia kuongezeka kwa kiwango kikubwa mno ununuzi wa silaha katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Familia za wahanga wa mauaji ya kimbari ya Tulsa wataka kufanyike uchunguzi wa mauaji hayo
Aug 01, 2021 08:04Familia za Wamarekani weusi waliouawa kwa umati katika mji wa Tulsa kwenye jimbo la Oklahoma nchini Marekani zimetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu jinai hiyo na kuchukuliwa hatua wahusika wa mauaji hayo.
-
John Sopko: Washington haikujifunza kutokana na makosa yake huko Afghanistan
Aug 01, 2021 06:25Inspekta Jenerali Maalumu wa Marekani katika Ujenzi Mpya wa Afghanistan amesema kuwa, nchi hiyo haijapata ibra na funzo kutokana na makosa yake katika vita vya Afghanistan.
-
HAMAS: Marekani inaipa baraka Israel za kuendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina
Aug 01, 2021 00:58Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, uamuzi waserikali ya Marekani wa kuupatia silaha mpya utawala haramu wa Israel maana yake ni kuupa baraka utawala huo ghasibu za kuendeleza hujuma na mashambulio yake dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Uchunguzi wa maoni: Asilimia 60 ya wananchi wa Marekani wanamlaumu Biden kwa mfumuko wa bei
Jul 29, 2021 03:32Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa huko Marekani unaonyesha kuwa, asilimia 60 ya wananchi nchini humo wanaamini kuwa Rais wa nchi hiyo Joe Biden ndiye anayepaswa kulaumiwa kwa mfumuko wa bei ambao haujawahi kushuhudiwa nchini humo katika miaka 13 ya karibuni.