-
Wamarekani wanaanza vita vya kinafsi dhidi ya rais mteule wa Iran
Jul 29, 2021 02:38Kundi moja la maseneta wa chama cha Republican nchini Marekani limemtumia barua Rais Joe Biden likimtaka azuie rais mteule wa Iran, Ayatullah Sayyid Ebrahim Raeisi na maafisa wengine wa Iran kuingia nchini humo kwa ajili ya kushiriki mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Mataifa.
-
Spika wa Zimbabwe: Marekani, muasisi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Jul 28, 2021 06:44Spika wa Bunge la Kitaifa la Zimbabwe ameitaja Marekani kama muasisi, chimbuko na taifa linaloongoza kwa ukiukaji wa haki za binadamu duniani.
-
Radiamali tofauti za maafisa na makundi ya Iraq kuhusu taarifa ya pamoja ya al-Kadhimi na Biden
Jul 28, 2021 03:53Rais Joe Biden wa Marekani na Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq wametoa taarifa mwishoni mwa duru ya nne ya mazungumzo ya kistratijia nya nchi mbili ambapo wamesema kuwa wameafikiana juu ya kufikia kikomo uwepo wa askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
-
Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan
Jul 28, 2021 03:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.
-
Kongresi ya Marekani yaishinikiza EU iitambue Hizbullah kama kundi la kigaidi
Jul 28, 2021 02:47Kundi moja la wawakilishi wa vyama viwili vya Republican na Democratic katika Kongeresi ya Marekani limetoa wito wa kushinikizwa Umoja wa Ulaya ili uitambua harakati yote ya Hizbullah kuwa ni "kundi la kigaidi".
-
Makundi ya Mashia Iraq yakaribisha makubaliano ya kuondolewa askari wa Marekani nchini humo
Jul 27, 2021 10:38Mirengo miwili ya Al Fat-h na An-Nasr pamoja na harakati ya Hekima ya Kitaifa na ile ya Sadr nchini Iraq zimekaribisha juhudi za timu ya mazungumzo ya nchi hiyo zilizowezesha kufikiwa makubaliano na Marekani ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq.
-
Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani
Jul 26, 2021 03:23Duru ya nne ya mazungumzo kati ya Marekani na Iraq ilianza siku ya Ijumaa ya tarehe 23 Julai mjini Washington, Marekani. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein na Qassem Al Aa'raji, Mshauri wa Usalama wa Taifa ndio wanaoiwakilisha nchi yao katika mazungumzo hayo.
-
Watu 430 wauliwa katika ufyatuaji risasi wiki iliyopita nchini Marekani
Jul 26, 2021 03:09Takwimu mpya zinaonyesha kuwa watu wasiopungua 430 wameuawa katika mashambulizi 915 ya kufyatuana risasi yaliyojiri nchini Marekani wiki iliyopita pekee.
-
Maambukizo ya corona yaongezeka sana Marekani
Jul 25, 2021 22:08Maambukizi ya virusi vya corona aina ya Delta yamepelekea kuongezeka pakubwa idadi ya wagonjwa na wahanga wa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani.
-
Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani
Jul 25, 2021 22:08Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa Baghdad haiwahitaji wanajeshi wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kundi la Daesh.