-
Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani
Jul 26, 2021 03:23Duru ya nne ya mazungumzo kati ya Marekani na Iraq ilianza siku ya Ijumaa ya tarehe 23 Julai mjini Washington, Marekani. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein na Qassem Al Aa'raji, Mshauri wa Usalama wa Taifa ndio wanaoiwakilisha nchi yao katika mazungumzo hayo.
-
Watu 430 wauliwa katika ufyatuaji risasi wiki iliyopita nchini Marekani
Jul 26, 2021 03:09Takwimu mpya zinaonyesha kuwa watu wasiopungua 430 wameuawa katika mashambulizi 915 ya kufyatuana risasi yaliyojiri nchini Marekani wiki iliyopita pekee.
-
Maambukizo ya corona yaongezeka sana Marekani
Jul 25, 2021 22:08Maambukizi ya virusi vya corona aina ya Delta yamepelekea kuongezeka pakubwa idadi ya wagonjwa na wahanga wa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani.
-
Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani
Jul 25, 2021 22:08Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa Baghdad haiwahitaji wanajeshi wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kundi la Daesh.
-
Maduro aliagiza jeshi la Venezuela litoe jibu kali kwa chokochoko za Marekani
Jul 25, 2021 06:43Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo lijiweka tayari na kutoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wa aina yoyote wa Marekani dhidi ya nchi hiyo.
-
Ilhan Omar ataka ufafanuzi wa Biden juu ya shambulio la anga Somalia
Jul 24, 2021 20:50Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amemuandikia barua Rais Joe Biden wa nchi hiyo, akitaka ufafanuzi na maelezo kuhusu shambulio la kwanza la anga lililofanywa na utawala wake nchini Somalia.
-
HRW: Biden anapaswa kusitisha uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu
Jul 24, 2021 10:18Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Righs Watch limemtaka Rais Joe Biden wa Marekani asitishe uuzaji wa silaha kwa wakiukaji wa haki za binadamu zikiwemo tawala za Misri na Israel.
-
Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani
Jul 24, 2021 03:37Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HRW yamtaka Biden asitishe uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu
Jul 23, 2021 23:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limemtaka Rais Joe Biden wa Marekani kuziwekea vikwazo vya silaha tawala zinazokiuka haki za binadamu
-
WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021
Jul 23, 2021 03:16Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limedai kuwa, Marekani na Iraq zimeafikiana juu ya kuondoka wanajeshi wote wa US kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu kufikia mwishoni mwaka huu 2021.