-
Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan
Jul 22, 2021 07:00Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.
-
Vifo vya utumiaji wa madawa ya kulevya Marekani vyaongezeka kwa asilimia 30
Jul 18, 2021 06:55Takwimu za vifo vinavyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya wa kupindukia nchini Marekani zinazonyesha kuwa, vifo hivyo viliongezeka kwa asilimia 30 mwaka jana (2020) ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake yaani 2019.
-
Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon
Jul 17, 2021 03:17Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.
-
Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine
Jul 16, 2021 22:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu propaganda chafu mpya za Marekani ndhidi ya Iran na kuishauri Washington ishughulikie masuala ya ndani ya nchi hiyo badala ya kuzitupia tuhuma nchi nyingine.
-
Pentagon yakiri: Wauaji wa Rais wa Haiti walikuwa na uhusiano na jeshi la Marekani
Jul 16, 2021 22:39Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, (Pentagon) amekiri kwamba, wauaji wa Rais wa Haiti walipewa mafunzo na jeshi la nchi hiyo.
-
Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima
Jul 14, 2021 20:47Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.
-
Zarif asisitiza: "Vikwazo vya kulemaza" vya Marekani vimefeli na kugonga mwamba
Jul 14, 2021 08:02Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa Iran amesema kuwa vikwao vya Marekani dhidi ya Iran vilivyotajwa kuwa ni vya kulemaza vimefeli na kushindwa.
-
Masharti ya Maduro kwa ajili ya kufanya mazungumzo na wapinzani
Jul 14, 2021 04:08Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa yupo tayari kufanya duru nyingine ya mazungumzo na wapinzani wa serikali iwapo baadhi ya masharti aliyotoa yatatimizwa.
-
Asilimia 73 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan
Jul 11, 2021 21:56Sambamba na kuendelea harakati za Washington za kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan.
-
Hizbullah: Marekani itashindwa katika vita ya kiuchumi kama ilivyoshindwa katika vita vya kijeshi
Jul 11, 2021 03:38Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mhimili wa Marekani kama ulivyoshindwa katika vita vya kijeshi katika eneo la Asia Magharibi utashindwa pia katika vita vya kiuchumi.