-
UN yatakiwa kuitisha mkutano wa dharura kufuatia mauaji ya kikatili ya Floyd Marekani
Jun 09, 2020 03:30Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetakiwa kuitisha mkutano wa dharura wa kujadili mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya raia mwenye asili ya Afrika, George Floyd mwishoni mwa mwezi uliopita wa Mei.
-
Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi
Jun 08, 2020 07:39Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.
-
Polisi mweusi wa Marekani alaani vikali ukiukwaji wa haki za weusi nchini humo
Jun 07, 2020 08:47Afisa mmoja wa polisi katika wilaya ya Hoke, moja ya miji muhimu ya jimbo la Carolina Kaskazini nchini Marekani amekosoa vikali ukiukaji wa haki za binadamu za watu weusi nchini humo.
-
Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani
Jun 07, 2020 07:25Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.
-
Viongozi wa Marekani wakosoa vikali uamuzi wa Trump wa kutumia jeshi kukabiliana na waandamanaji
Jun 07, 2020 00:05Viongozi wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Rais Donald Trump wa kutuma wanajeshi kwa lengo la kukabiliana na waandamanaji.
-
Wakazi wa New York waendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 06, 2020 12:46Wakazi wa New York nchini Marekani wameendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi na ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya watu weusi.
-
Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani
Jun 06, 2020 06:59Wimbi la maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji watu wasio wazungu linaendelea nchini Marekani huku kiwango cha umaarufu wa rais wa nchi hiyo, Donald Trump kikiporomoka vibaya na kufikia asilimia 44.
-
Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu
Jun 06, 2020 03:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.
-
Polisi wa Marekani waendeleza jinai zao, mara hii wamuua Mmarekani mwenye asili ya Latini asiye na silaha
Jun 05, 2020 22:27Katika jinai mpya zinazochochewa na mitazamo ya kibaguzi, polisi wa Marekani, wamemuua raia wa nchi hiyo mwenye asili ya Amerika ya Latini ambaye hakuwa na silaha wala ulinzi wowote.
-
Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 05, 2020 22:23Moja kati ya vipengee muhimu vya mapatano ya nyuklia ya maarufu kwa kifupi ka jina la JCPOA ni azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lina kipengee kuhusu kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran miaka mitano baada ya kuanza kutekelezwa mapatano hayo.