Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ripoti: Marekani ni kituo kikubwa zaidi duniani cha kuhifadhi fedha 'chafu'

    Ripoti: Marekani ni kituo kikubwa zaidi duniani cha kuhifadhi fedha 'chafu'

    Feb 19, 2020 04:42

    Ripoti mpya ya shirika la Tax Justice Network (TJN) imeituhumu Marekani kuwa ndicho kitovu kikubwa zaidi duniani cha kuficha na kutakatisha fedha haramu.

  • John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    Feb 18, 2020 23:22

    Mshauri wa Zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ambaye binafsi ni miongoni mwa wabunifu wa mpango wa mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran katika serikali ya Rais Donald Trump, amekosoa utekelezaji wa siasa hizo za Trump kuilenga Tehran.

  • China yasisitiza kuwa serikali ya Marekani ni ya kijasusi

    China yasisitiza kuwa serikali ya Marekani ni ya kijasusi

    Feb 18, 2020 23:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza serikali ya Marekani imesimama katika msingi wa ujasusi wa kimtandao duniani.

  • Rais Nicolás Maduro: Hatuogopi hata kidogo kukabiliana kijeshi na Marekani

    Rais Nicolás Maduro: Hatuogopi hata kidogo kukabiliana kijeshi na Marekani

    Feb 18, 2020 12:37

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela sambamba na kufichua njama chafu za Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Amerika ya Latini, amesisitiza kuwa nchi yake haitishiki na makabiliano ya kijeshi.

  • Hatua za Donald Trump na kuongezeka umasikini nchini Marekani

    Hatua za Donald Trump na kuongezeka umasikini nchini Marekani

    Feb 18, 2020 08:55

    Licha ya ahadi chungu nzima alizotoa Rais Donald Trump wa Marekani za kupunguza kiwango cha umasikini nchini humo, lakini idadi ya watu wanaotaabika kwa ufakiri na umasikini imeongezeka katika miaka ya hivi karibuni.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Feb 18, 2020 04:43

    Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.

  •  Borrell akosoa msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya JCPOA

    Borrell akosoa msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya JCPOA

    Feb 17, 2020 09:31

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayojumuisha Ujerumani, Ufaransa, na Uingereza ni pande ambazo zimekuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Lakini baada ya Markenai kujiondoa katika mapatano hayo, pande hizo hazijachukua hatua za kivitendo kuyalinda na sasa hata maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya wamekiri kuhusu udhaifu huo.

  • Malalamiko na ukosoaji kwa ongezeko la mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya raia Afghanistan

    Malalamiko na ukosoaji kwa ongezeko la mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya raia Afghanistan

    Feb 16, 2020 23:13

    Ongezeko la hasara linalotokana na mashambulizi ya anga ya askari wa Marekani dhidi ya raia wa Afghanistan, limekabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa wa shakhsia, wananchi na wabunge wa nchi hiyo.

  • Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman

    Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman

    Feb 15, 2020 23:20

    Kanali ya Kwanza ya televisheni ya Israel imetangaza kuwa ujumbe uliojumuisha viongozi wa jumuiya za Kiyahudi za Marekani ulitembelea Saudi Arabia siku za hivi karibuni na kupokewa katika kasri la Mfalme Salman bin Abdul Azizi Aal Saud mjini Riyadh.

  • Rais wa Ufaransa amjibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani akisema: Magharibi 'inadhoofika'

    Rais wa Ufaransa amjibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani akisema: Magharibi 'inadhoofika'

    Feb 15, 2020 10:54

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amejibu madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani aliyotoa katika Mkutano wa Usalama wa Munich kwa kusema: Magharibi inadhoofika na kuporomoka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS