-
Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani
Feb 15, 2020 04:20Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.
-
Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani
Feb 15, 2020 00:42Msimamo uliotangazwa na maafisa wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia kuhusu Iran na mpango wa Kimarekani uliopewa jina la “Muamala wa Karne” umeonesha tena kwamba, baadhi ya tawala za Kiarabu zinashirikiana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika utekelezaji wa mpango huo khabithi na katika kufanya mabadiliko kwenye eneo la magharibi mwa Asia.
-
"Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"
Feb 13, 2020 23:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.
-
Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump
Feb 13, 2020 04:12Kanali mstaafu Lawrence Wilkerson, aliyekuwa pia mkuu wa ofisi ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Colin Powell amesema, jibu ililotoa Iran kwa mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani limempa somo na funzo rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mashambulio yoyote atakayofikiria kuyafanya siku za usoni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN
Feb 12, 2020 04:10Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.
-
Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui
Feb 11, 2020 08:48Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.
-
Mauaji ya raia yanayofanywa na Marekani ni dhihirisho la jinai za kivita
Feb 11, 2020 03:50Kamisheni ya Haki za Binaadamu nchini Afghanistan imeyataja mauaji ya raia yanayofanywa katika mashambulizi ya anga ya Marekani ndani ya nchi hiyo kuwa ni dhihirisho la jinai za kivita.
-
Uongo wa Trump alioutamka katika hotuba ya kila mwaka waanikwa
Feb 09, 2020 23:38Mtandao mmoja wa habari wa Marekani umeweka wazi idadi ya uongo uliosemwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika hotuba yake ya kila mwaka.
-
Serikali ya Trump yajifanya kuwa msimamizi wa Uingereza; indhari juu ya shirika la Huawei
Feb 09, 2020 23:37Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya hapo tarehe 31 Januari mwaka huu, Boris Johnson, Waziri Mkuu muhafidhina wa Uingereza amekuwa na matarajio makubwa ya kuanzisha uhusiano mkubwa na Marekani.
-
Askari aliyekuwa akiongoza drone za Marekani: Askari wa jeshi la Marekani ni wakatili sana kuliko hata Wanazi
Feb 09, 2020 12:26Askari mmoja ambaye alikuwa kitengo cha kuongoza ndege zisizo na rubani za Marekani (drone) amekiri kuhusu jinai za kutisha zinazofanywa na jeshi la nchi hiyo katika maeneo tofauti ya dunia.