-
Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake
May 02, 2025 09:29Zimepita siku 100 tangu Donald Trump aingie Ikulu ya White House nchini Marekani.
-
Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi
May 01, 2025 23:32Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO), taasisi ya shirikisho isiyoegemea upande wowote, imetangaza kwamba ikiwa Marekani inataka kuendelea kutumia uwezo wa vikosi vyake vya silaha za nyuklia, itahitaji kuongeza bajeti yake kwa kiwango kikubwa.
-
Ismail Baqaei: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimegonga mwamba
May 01, 2025 10:03Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uraibu wa Marekani wa kuwekea vikwazo mataifa mengine na kubainisha kwamba, vikwazo vya Washington dhidi ya Tehran vimeshindwa na kutokuwa na natija.
-
Amnesty International: Siku 100 za kwanza za urais wa Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu
Apr 30, 2025 03:20Katibu Mkuu wa Amnesty International ametangaza kuwa siku 100 za kwanza za urais wa Donald Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu nchini Marekani na kimataifa.
-
Euro-Med: Marekani inatenda kazi kama nguvu iliyo juu ya sheria nchini Yemen
Apr 30, 2025 03:17Shirika la Kutetea Haki za Kibinadamu la Euro-Mediterania limesema kuwa Marekani inafanya kazi kama mamlaka iliyo juu ya sheria za kimataifa nchini Yemen na inakaidi kanuni za uwajibikaji wa kimataifa.
-
Misri yakosoa wito wa Trump wa kutaka meli za US kupita mfereji wa Suez bila malipo
Apr 29, 2025 23:00Wito wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kutaka meli za nchi hiyo zipitie bila malipo kwenye Mfereji wa Suez umezusha shutuma nyingi nchini Misri, ambapo wataalamu wa masuala ya sheria, viongozi wa kisiasa na wananchi wamekosoa vikali matamshi hayo, wakisema kuwa hayana msingi kisheria, na ni tishio kubwa kwa nidhamu ya kimataifa.
-
China: Kusalimu amri kutachochea zaidi uchu wa Marekani
Apr 29, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kusalimu amri na kufikia makubaliano na Marekani katika vita vya kibiashara vya Washington hakutakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi uchu na uroho wa Marekani.
-
Trump, Rais wa Marekani anayechukiwa zaidi katika miaka 70 iliyopita
Apr 28, 2025 22:46Donald Trump, rais wa Marekani, alirejea kwa mara ya pili Ikulu ya White House akiwa na kiwango cha juu zaidi cha umaarufu tangu kuanza safari yake ya kisiasa. Hata hivyo, utafiti mpya wa mtandao wa habari wa Marekani, CNN, unaonyesha kuwa umaarufu wa Trump umeshuka hadi kiwango cha chini kabisa karibu na siku ya 100 ya kurejea kwake madarakani.
-
Ni suluhu au ushindani wa kiuchumi? Kongo, Rwanda na maslahi ya kimkakati ya Marekani
Apr 27, 2025 22:52Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda wametia saini makubaliano ya kimsingi ya amani, kwa upatanishi wa Marekani.
-
Yemen yakishambulia kwa kombora la "Palestina 2" kituo cha anga cha Nevatim cha jeshi la utawala wa Kizayuni
Apr 26, 2025 23:05Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa vikosi hivyo imekishambulia kwa kombora kituo cha jeshi la anga la utawala wa Kizayuni cha Navatim katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.