-
IPU: Uamuzi wa Marekani dhidi ya Golan ya Syria unakiuka azimio la UN
Apr 11, 2019 09:24Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) imelaani uamuzi wa upande mmoja wa rais wa Marekani kuutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kama mmiliki wa Miinuko ya Golan ya Syria na kusema uamuzi huo unapingana waziwazi na azimio nambari 497 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Misri yajiondoa katika muungano dhidi ya Iran, Marekani yachanganyikiwa
Apr 11, 2019 03:36Serikali ya Misri imetangaza uamuzi wa kujiondoa katika muungano dhidi ya Iran unaojulikana kama "NATO ya Kiarabu" ambao unaongozwa na Marekani.
-
Misri yajiondoa katika muungano dhidi ya Iran, Marekani yachanganyikiwa
Apr 11, 2019 01:46Serikali ya Misri imetangaza uamuzi wa kujiondoa katika muungano dhidi ya Iran unaojulikana kama "NATO ya Kiarabu" ambao unaongozwa na Marekani.
-
Licha ya Trump kumtaja Kim Jong-un kuwa ni rafiki yake, Pompeo amtaja kuwa ni mtu muovu
Apr 10, 2019 20:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, amemtaja Kim Jong-un, kiongozi wa Korea Kaskazini kuwa ni mtu muovu, licha ya kwamba rais wa Marekani, Donald Trump alimtaja kiongozi huyo kijana kuwa ni rafiki yake.
-
Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran
Apr 10, 2019 03:27Nchi mbalimbali duniani zimeendelea kukosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi.
-
Bunge la US lamtaka Trump asaini azimio la kutojihusisha nchi hiyo na vita Yemen
Apr 10, 2019 03:14Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani amemtaka Rais Donald Trump alisaini kuwa sheria azimio linaloitaka serikali ya nchi hiyo ihitimishe uungaji mkono wake kwa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Ilhan Omar: Hatua ya Trump dhidi ya IRGC itawaweka hatarini askari wa US
Apr 09, 2019 21:57Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar amekosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi na kusema kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi taharuki.
-
Kiongozi: Ukhabithi wa Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu hautafika popote
Apr 09, 2019 10:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani inahasimiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa sababu jeshi hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuilinda Iran na Mapinduzi ya Kiislamu na kuongeza kuwa: "Kwa miaka 40 sasa, Marekani na maadui wengine wajinga wamekuwa wakifanya kila wawezalo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini wameshindwa."
-
Rais Rouhani: Marekani imeitaja IRGC kuwa kundi la kigaidi ili kufidia kushindwa kwake
Apr 09, 2019 10:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kung'oa mizizi ya ugaidi katika eneo na kuongeza kuwa: "Uistikbari wa kimataifa na Marekani wanalenga kufidia kushindwa katika makabiliano na taifa la Iran kwa kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu eti ni kundi la kigaidi."
-
Kikao cha G7, wigo mwingine wa kudhihiri hitilafu baina ya nchi za Magharibi
Apr 09, 2019 06:44Kikao cha kundi la G7 nchini Ufaransa kimekumbwa na changamoto nyingi ikiwemo kutohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na kushindwa kufikiwa makubaliano kati ya wanachama kuhusiana na masuala yanayohusu Mashariki ya Kati hususan kadhia ya Palestina na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.