Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Larijani: Marekani ni nembo ya ugaidi wa kimataifa kijeshi na kiuchumi

    Larijani: Marekani ni nembo ya ugaidi wa kimataifa kijeshi na kiuchumi

    Apr 09, 2019 03:21

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, serikali ya Marekani na majeshi ya nchi hiyo ni nembo ya ugaidi wa kimataifa, kijeshi na kiuchumi.

  • Raia 16 wa Saudia wazuiwa rasmi kuingia Marekani wakihusishwa na mauaji ya Khashoggi

    Raia 16 wa Saudia wazuiwa rasmi kuingia Marekani wakihusishwa na mauaji ya Khashoggi

    Apr 09, 2019 03:15

    Baada ya kupita miezi sita, sasa ndipo serikali ya Marekani imeamua kutekeleza marufuku ya kuingia nchini humo raia 16 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji, Jamal Khashoggi.

  • Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ajiuzulu

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ajiuzulu

    Apr 08, 2019 03:24

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani, Kirstjen Nielsen ambaye amekuwa akikosolewa vikali kwa kuongoza utekelezaji wa sera ya kikatili ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri katika mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico amejiuzulu.

  • Sisitizo la Yukiya Amano la ulazima wa kukaguliwa miradi ya nyuklia ya Saudi Arabia

    Sisitizo la Yukiya Amano la ulazima wa kukaguliwa miradi ya nyuklia ya Saudi Arabia

    Apr 07, 2019 23:35

    Katika miaka ya hivi karibuni Saudi Arabia imeanzisha juhudi kubwa za kupata teknolojia ya nyuklia. Utawala wa Aal-Saud unaungwa mkono wazi wazi na madola ya Magharibi hususan Marekani katika juhudi zake hizo. Muda wote huu, harakati hizo za pupa za Saudia katika wigo wa nyuklia zimekuwa zikifanyika kwa siri na bila kusimamiwa na taasisi za kimataifa kama Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Qassemi: Kuzusha masuala yasiyoendana na uhalisia wa mambo hakuwezi kuathiri azma na irada ya taifa la Iran

    Qassemi: Kuzusha masuala yasiyoendana na uhalisia wa mambo hakuwezi kuathiri azma na irada ya taifa la Iran

    Apr 07, 2019 11:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekemea misimamo isiyoendana na uhalisia wa mambo ya nchi wanachama wa G7 na kusisitizia nafasi chanya ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuimarisha uthabiti, amani na kupambana na ugaidi katika eneo la Magharibi ya Asia pamoja na mpango wake wa makombora kwa ajili ya ulinzi na malengo ya amani.

  • Iran: Watu wenye ushawishi wakabiliane na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani

    Iran: Watu wenye ushawishi wakabiliane na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani

    Apr 07, 2019 03:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi na watu wenye ushawishi duniani kupambana na mienendo na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani.

  • Onyo kali la Kamanda wa IRGC kuhusu hatua tarajiwa za wakuu wa Marekani

    Onyo kali la Kamanda wa IRGC kuhusu hatua tarajiwa za wakuu wa Marekani

    Apr 07, 2019 10:31

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) ametoa onyo kali na kusema: "Iwapo Marekani itatekeleza hatua yake tarajiwa ya kuiweka IRGC katika orodha ya makundi ya kigaidi, basi ifahamu kuwa haitapata utulivu katika eneo."

  • Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Apr 07, 2019 02:33

    Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.

  • Papa azilaumu Marekani na Ulaya kwa mauaji ya watu katika maeneo ya vita

    Papa azilaumu Marekani na Ulaya kwa mauaji ya watu katika maeneo ya vita

    Apr 07, 2019 02:20

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na Marekani na nchi za Magharibi ndiyo sababu ya mauji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.

  • CAIR yaonya kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya mbunge Muislamu kutishiwa kuuawa Marekani

    CAIR yaonya kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya mbunge Muislamu kutishiwa kuuawa Marekani

    Apr 06, 2019 22:29

    Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limeonya kuwa vitendo vya uhalifu vinavyotokana na chuki dhidi ya Waislamu vimeongezeka nchini humo, baada ya mtu mmoja kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa kutishia kumuua Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS