Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza

    Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza

    Jan 20, 2025 04:00

    Mwandishi wa habari mashuhuri wa Marekani ameeleza mbinu zinazotumiwa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel kuficha jinai za Wazayuni katika vita vya Gaza.

  • Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu

    Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu

    Jan 19, 2025 08:02

    Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.

  • Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump

    Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump

    Jan 18, 2025 07:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.

  • Sullivan: Enzi ya ukuu wa Marekani imekwisha

    Sullivan: Enzi ya ukuu wa Marekani imekwisha

    Jan 15, 2025 23:06

    Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, amekiri kwamba: Zama za Marekani kuwa juu zaidi ya nchi nyingine zimekwisha na kuyoyoma.

  • TV ya Marekani yaonyesha mabaki ya silaha za nchi hiyo Ghaza zinazotumika katika mauaji ya kimbari

    TV ya Marekani yaonyesha mabaki ya silaha za nchi hiyo Ghaza zinazotumika katika mauaji ya kimbari

    Jan 15, 2025 08:07

    Kanda za video zilizorushwa hewani na chaneli kubwa ya televisheni ya Marekani ya CBS zimefichua kuwepo kwa silaha nyingi ambazo serikali ya Washington imeupatia utawala wa Kizayuni wa Israel uzitumie katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina unayofanya katika Ukanda wa Ghaza, suala ambalo limekabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.

  • WHO yasema hali ya Mpox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ingali inatisha

    WHO yasema hali ya Mpox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ingali inatisha

    Jan 14, 2025 23:13

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema, ijapokuwa mwenendo wa sasa wa homa ya nyani au Mpox duniani inaonekana kutulia, lakini hali si shwari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

  • Elon Musk: Waziri Mkuu Uingereza alitaka kuhujumu uchaguzi wa Marekani, ni mhalifu wa ngono

    Elon Musk: Waziri Mkuu Uingereza alitaka kuhujumu uchaguzi wa Marekani, ni mhalifu wa ngono

    Jan 14, 2025 04:14

    Mkuu wa Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani amesisitiza kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza alikusudia kuingilia uchaguzi wa rais wa hivi majuzi wa Marekani.

  • Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani

    Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani

    Jan 11, 2025 07:14

    Mji wa Los Angeles katika jimbo la California, Marekani, umekuwa ukiteketea kwa moto usiozuilika kwa siku kadhaa sasa katika msimu wa baridi kali na kuwaacha maelfu ya watu bila ya makazi. Moto huo pia umesababisha hasara na uharibifu mkubwa unaotajwa kuwa ni wa aina yake katika historia ya majanga nchini Marekani.

  • Katika hatua ya kuaibisha, Baraza la Wawakilishi la US lapitisha muswada wa vikwazo dhidi ya ICC

    Katika hatua ya kuaibisha, Baraza la Wawakilishi la US lapitisha muswada wa vikwazo dhidi ya ICC

    Jan 10, 2025 08:42

    Katika hatua ya kuaibisha, Baraza la Wawakilishi la Marekani limeidhinisha mswada wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kama jibu kwa hatua ya mahakama hiyo ya kutoa hati za kukamatwa viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuhusika na uhalifu wa kivita katika Ukanda wa Ghaza.

  • Baqaei: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen ni mfano wa wazi wa jinai

    Baqaei: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen ni mfano wa wazi wa jinai

    Jan 10, 2025 03:31

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen ni mfano wa wazi wa jinai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS