Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia

    Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia

    Aug 13, 2020 22:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa makumi ya wahajiri wa Kiethiopia waliokimbia vita kaskazini mwa Yemen wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa mpakani wa Saudi Arabia.

  • Bin Salman aitwa mahakamani Washington kujibu tuhuma za kutaka kumuua al Jabri

    Bin Salman aitwa mahakamani Washington kujibu tuhuma za kutaka kumuua al Jabri

    Aug 11, 2020 01:04

    Mahakama ya Washington DC imemtaka mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman na wenzake 13 kufika mahakamani kujibu tuhuma za kufanya jaribio la kutaka kumuua kigaidi Saad al Jabri, mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia aliyekimbilia nchini Canada.

  • Washington Post: Saudia inaongozwa na mwanamfalme wa makundi ya mauaji

    Washington Post: Saudia inaongozwa na mwanamfalme wa makundi ya mauaji

    Aug 10, 2020 05:21

    Gazeti la Washington Post la Marekani limefanya ulinganisho baina ya mauaji yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo, Jamal Khashogi, na jaribio la mauaji ya kigaidi lililofanywa na watu wa karibu na mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman dhidi ya mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia, Saad al Jabri na kusema Saudi Arabia inaongozwa na mrithi wa ufalme anayesimamia makundi ya mauti.

  • Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila

    Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila

    Aug 10, 2020 05:20

    Gavana wa jimbo la Bahrul Ahmar nchini Sudan amepiga marufuku watu kutembea katika baadhi ya mji wa Port Sudan ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Sudan kutokana na ghasia zilizotokana na hitilafu za kikabila ambazo zimesababisha mauaji ya watu kadhaa na kujeruhi makumi ya wengine.

  • Mauaji ya uhamishoni; jinai kwa mtindo wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia

    Mauaji ya uhamishoni; jinai kwa mtindo wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia

    Aug 07, 2020 23:53

    Saad al-Jabri, Mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia ya Saudi Arabia ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni nchini Canada amewasilisha mashtaka katika mahakama moja ya Marekani akisema kuwa, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia mwaka 2018 alituma timu ya kumuua yeye, ingawa njama za mauaji hayo zilisambaratishwa na viongozi wa Canada.

  • Makumi ya wafungwa wauawa katika shambulizi la Daesh huko Afghanistan, madazani wajeruhiwa

    Makumi ya wafungwa wauawa katika shambulizi la Daesh huko Afghanistan, madazani wajeruhiwa

    Aug 03, 2020 06:28

    Zaidi ya watu 21 wameuawa katika shambulizi lililofanywa usiku wa kuamkia leo na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh katika jela moja iliyoko katika mji wa Jalalabad nchini Afghanistan.

  • Mkosoaji wa Rais wa Sudan akimbilia Marekani baada ya Rais Kiir kuamuru auawe

    Mkosoaji wa Rais wa Sudan akimbilia Marekani baada ya Rais Kiir kuamuru auawe

    Jul 24, 2020 09:18

    Mchumi mashuhuri na mkubwa wa Sudan Kusini amekimbilia nchini Marekani bakidai kuwa, Rais Salva Kiir alikuwa ametoa amri ya kuuliwa kwake au kutekwa nyara akiwa Nairobi nchini Kenya.

  • Al Bashir kupandishwa kizimbani leo, huwenda akahukumiwa kifo

    Al Bashir kupandishwa kizimbani leo, huwenda akahukumiwa kifo

    Jul 21, 2020 03:43

    Rais wa zamani wa Sudan na wenzake 16 wanapandishwa kizimbani leo katika mahakama maalumu ya Khartoum kwa tuhuma za kufanya mapinduzi dhidi ya serikali iliyokuwa imechaguliwa na wananchi hapo mwaka 1989.

  • Ufaransa kufungua mashtaka dhidi ya mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi kwa kuhusika na mateso Yemen

    Ufaransa kufungua mashtaka dhidi ya mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi kwa kuhusika na mateso Yemen

    Jul 18, 2020 22:20

    Viongozi wa Ufaransa wameamua kufanya uchunguzi juu ya madai kwamba mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amehusika katika vitendo vya mateso huko Yemen, ambako Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) pamoja na Saudi Arabia na washirika wao, wamekuwa wakipigana vita vya umwagaji damu vya miaka mingi dhidi ya taifa la Yemen.

  • Mkuu wa jeshi la Somalia anusurika kifo, raia mmoja auawa katika shambulizi la al Shabab

    Mkuu wa jeshi la Somalia anusurika kifo, raia mmoja auawa katika shambulizi la al Shabab

    Jul 13, 2020 22:01

    Mkuu wa jeshi la Somalia amenusurika jaribio la kumuua lililofanyinwa kwa gari lilikokuwa limeshehena mabomu lililotaka kuvamia msafara wake mjini Mogadishu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS