-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jul 08, 2020 02:02Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.
-
The Guardian: Maafa ya korokoro zinazosimamiwa na Imarati huko Yemen yanatisha
Jul 01, 2020 03:36Gazeti la The Guardian la Uingereza limemulika ripoti ya mashirika ya kutetea haki za binadamu ambayo imefichua ukiukaji wa kutisha wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia wa Yemen katika jela na korokoro zisizo rasmi hususan zile zinazosimamiwa na makundi ya wanamgambo wanaosaidiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Hakuna anayeamini kwamba Morsi alikufa kifo cha kawaida
Jun 18, 2020 07:27Jumuiya ya kimataifa za kutetea haki za binadamu zimetoa taarifa kwa mnasaba wa kutimia mwaka mmoja tangu kuaga dunia rais wa zamani wa Misri, Mohammad Morsi zikisisitiza kuwa, hakuna hata mtu mmoja aliyeamini riwaya ya serikali ya Misri iliyodai Morsi alifariki dunia kwa kifo cha kawaida.
-
UN yatakiwa kuitisha mkutano wa dharura kufuatia mauaji ya kikatili ya Floyd Marekani
Jun 09, 2020 03:30Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetakiwa kuitisha mkutano wa dharura wa kujadili mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya raia mwenye asili ya Afrika, George Floyd mwishoni mwa mwezi uliopita wa Mei.
-
Wanamgambo wa CODECO waua watu 16 Kongo DR
Jun 04, 2020 03:06Watu wasiopungua 16 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa CODECO huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Gambia yataka uchunguzi wa mauaji ya mtoto wa mwanadiplomasia nchini Marekani
Jun 04, 2020 00:16Serikali ya Gambia imeitaka Marekani ianzishe uchunguzi mara moja wa mauaji ya mtoto wa kiume wa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa nchi hiyo ya Kiafrika katika jiji la Atlanta, jimboni Georgia.
-
Genge la wabeba silaha laua 18 Nigeria, laiba maelfu ya mifugo
Jun 01, 2020 05:52Genge la watu waliojizatiti kwa silaha limeshambulia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu 18 mbali na kuiba maelfu ya mifugo ya wakazi wa kijiji hicho.
-
AU yalaani ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi
May 30, 2020 03:44Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani vikali mauaji ya raia mweusi nchini Marekani katika jimbo la Minnesota, licha ya kuwa hakuwa na silaha yoyote.
-
Watu wengine 40 wauawa kwa kukatwa mapanga Kongo DR
May 28, 2020 03:29Watu wasiopungua 40 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mpakani na Uganda.
-
Amnesty: Marekani imepunguza idadi ya raia iliyowaua katika operesheni za kijeshi
May 07, 2020 03:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetofautiana na idadi iliyotangazwa na Washington ya raia waliouawa katika operesheni za kijeshi za Marekani mwaka jana 2019 katika nchi mbali mbali duniani.