Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Magaidi 129 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na maafisa usalama Msumbiji

    Magaidi 129 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na maafisa usalama Msumbiji

    Apr 29, 2020 06:42

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Msumbiji ametangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi kaskazini mwa nchi katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • UN yalaani mauaji ya wasichana na wanawake mjini Tripoli, Libya

    UN yalaani mauaji ya wasichana na wanawake mjini Tripoli, Libya

    Mar 20, 2020 08:36

    Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la mabomu katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ambalo liliua na kujeruhi watoto wa kike na wanawake kadhaa.

  • Mwaka mmoja baada ya mauaji ya Waislamu New Zealand, usiri unatawala uchunguzi kuhusu mauaji hayo

    Mwaka mmoja baada ya mauaji ya Waislamu New Zealand, usiri unatawala uchunguzi kuhusu mauaji hayo

    Mar 14, 2020 22:58

    Ripoti iliyotayarishwa na gazeti la Washington Post inasema kuwa, uchunguzi wa serikali ya New Zealand wa kutaka kupata majibu yanayoweka wazi jinsi mhalifu aliyefanya mauaji ya kutisha ya Waislamu 51 waliokuwa wakitekeleza ibada misikitini, alivyoweza kufanya mauaji hayo, unaendelea kwa usiri mkubwa, jambo ambalo limezusha wasiwasi wa wachambuzi wa mambo ya jamii ya Waislamu wa New Zealand.

  • Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua waziri mkuu wa Sudan

    Umoja wa Mataifa walaani jaribio la kumuua waziri mkuu wa Sudan

    Mar 11, 2020 01:17

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali jaribio la kumuua Waziri Mkuu wa Sudan.

  • Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India

    Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India

    Mar 10, 2020 04:49

    Vyama vya Kiislamu vya Wanafunzi wa Iran vimelaani vikali mauaji na hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India.

  • Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Mar 06, 2020 09:07

    Ayatullah Nouri Hussein Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wa juu wa kidini nchini Iran amelaani ukatili na mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India na kukosoa kimya cha vyombo vya habari duniani kuhusiana na mauaji hayo.

  • Jeshi la Cameroon lasema limeua 'magaidi' wanaotaka kujitenga

    Jeshi la Cameroon lasema limeua 'magaidi' wanaotaka kujitenga

    Mar 03, 2020 04:37

    Serikali ya Cameroon imetangaza kuwa, 'magaidi' wa harakati ya kutaka kujitenga katika eneo linalozungumza Kiingereza wameuawa katika operesheni ya jeshi la nchi hiyo.

  • 50 wauawa katika shambulio la watu waliobeba silaha Nigeria

    50 wauawa katika shambulio la watu waliobeba silaha Nigeria

    Mar 02, 2020 23:53

    Watu wasiopungua 50 wameuawa baada ya genge la watu waliobeba silaha kushambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.

  • Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mar 01, 2020 04:26

    Mamia ya raia wa Marekani wenye asili ya India wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya Marekani kulaani na kupinga ghasia zilizopelekea makumi ya watu kuuawa katika mji mkuu wa India, New Delhi.

  • HRW: Serikali imehusika na mauaji ya raia Cameroon

    HRW: Serikali imehusika na mauaji ya raia Cameroon

    Feb 26, 2020 22:56

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeituhumu serikali ya Cameroon kuwa ilihusika na mauaji ya makumi ya raia katika jimbo linalozungumza Kiingereza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS