-
Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu
Feb 17, 2016 22:41Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia amesema, viongozi wa baadhi ya majimbo nchini humo wamekubaliana na pendekezo la serikali kuu la kufanyika uchaguzi mwezi Julai mwaka huu.