-
Khatibzadeh: Bwabwaja za Morocco dhidi ya Iran zimetolewa kwa maslahi ya Wazayuni
May 08, 2021 12:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai yasiyo na msingi yaliyotolewa hivi karibuni na serikali ya Morocco dhidi ya Iran yametolewa kwa maslahi, mipango na njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Morocco yakandamiza maandamano ya kuliunga mkono taifa la Palestina
Apr 01, 2021 02:15Serikali ya Morocco imekandamiza maandamano ya wananchi wa nchi hiyo kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina, ikiwa ni hatua ya kwanza kabisa ya kuzuia kulaaniwa utawala wa Kizayuni nchini humo tangu Rabbat ilipotangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Morocco yashadidisha ukandamizaji baada ya kuanzisha uhusiano na Israel
Feb 20, 2021 12:45Serikali ya Morocco imeshadidisha mbinyo, ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wananchi wa kawaida nchini humo, baada ya Rabat kukubaliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kuanzisha uhusiano wa pande mbili.
-
Harakati ya Polisario yashambulia kwa makombora kivuko cha Guerguerat kwenye mpaka wa Morocco
Jan 24, 2021 13:46Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Harakati ya Ukombozi wa Sahara Magharibi Polisario kimeshambulia kwa maroketi kivuko cha Guerguerat kwenye mpaka wa Morocco na kwamba jeshi la nchi hiyo limejibu shambulio hilo.
-
Human Rights Watch yakosoa hali ya haki za binadamu nchini Morocco
Jan 20, 2021 02:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa hali ya haki za binadamu nchini Morocco na kutangaza kuwa, maafisa wa nchi hiyo wamezidisha mminyo na ukandamizaji wa uhuru wa raia.
-
Trump ampa Mfalme wa Morocco tuzo kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Jan 17, 2021 07:52Rais Donald Trump wa Marekani amemtunuku tuzo ya kifahari Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco, kutokana na hatua yake ya kukubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Morocco yasimamisha uhusiano wake na Wazayuni
Jan 02, 2021 07:26Duru kadhaa za kidiplomasia zimetangaza kuwa serikali ya Morocco imesimamisha kutangaza kiukamilifu uhusiano wake na utawala wa Kizayuni hadi itakapojua msimamo wa rais ajaye wa Marekani kuhusu Sahara Magharibi.
-
Wamorocco wafungua shauri mahakamani la kufutwa mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 30, 2020 08:11Mratibu wa Kongresi ya Kitaifa ya Kiislamu ya Morocco amesema wamefungua shauri mahakamani la kuangaliwa upya uamuzi uliochukuliwa na serikali ya Rabat wa kufikia mapatano na Israel ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi na katika sekta ya utalii.
-
Marekani kufungua ubalozi mdogo Sahara Magharibi, Morocco
Dec 25, 2020 13:11Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa ukiukaji wa sheria za kimataifa na maazimio ya Umoja wa Mataifa, Marekani imetangaza kuwa imeanzisha mchakato wa kufungua ubalozi mdogo katika eneo la Sahara Magharibi, huko kusini mwa Morocco.
-
Mfalme wa Morocco aunga mkono kuanzishwa mazungumzo ya mapatano na utawala wa Kizayuni
Dec 24, 2020 12:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amefichua kuwa, mazungumzo ya kuanzisha uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni yameanza kwa uungaji mkono wa Mfalme wa nchi hiyo.