-
Umoja wa Mataifa wasisitiza msimamo wake kuhusu eneo la Sahara Magharibi
Dec 14, 2020 02:57Katika hali ambayo katika miezi ya hivi karibuni kumeshuhudiwa ongezeko la taharuki baina ya serikali ya Morocco na Harakati ya Polisaria kuhusiana na eneo la Sahara Magharibi, Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza Alhamisi kuwa Morocco imeafiki kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kuwa Washington inatambua rasmi eneo la Sahara Magharibi kama milki ya Morocco.
-
Vyama vya Kiislamu Morocco vyapinga uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Dec 13, 2020 10:52Vyama vya Kiislamu nchini Morocco vimepinga vikali uamuzi wa ufalme wa nchi hiyo wa kuafikia kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel kufuatia mapatano yaliyosimamiwa na Marekani.
-
UN yailaumu Marekani kwa msimamo wake kuhusu Sahara Magharibi
Dec 13, 2020 07:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameilaumu Marekani kwa kutangaza kulitambua rasmi eneo la Sahara Magharibi kuwa ni milki ya Morocco.
-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 11:36Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.
-
Amir-Abdollahian: Kama watawala wa Kiarabu wameghafilika na Uislamu basi wafikirie japo maana ya ‘ghera ya Kiarabu’
Dec 12, 2020 11:23Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni usaliti na pigo la jambia dhidi ya mwili wa muqawama wa Palestina.
-
Hizbullah ya Lebanon yalaani kuanzishwa uhusiano wa Israel na Morocco
Dec 12, 2020 07:52Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali 'mapatano' ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina
Dec 12, 2020 07:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.
-
"Mauaji ya Fakhrizadeh yamelifanya faili la vitendo vya kigaidi vya Israel kuwa zito zaidi"
Dec 02, 2020 07:10Chama cha Demokrasia kwa ajili ya Mshikamano wa Mataifa cha nchini Morocco kimetoa tamko rasmi na kusema kuwa, mauaji ya kigaidi ya Dk Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi wa nyuklia na masuala ya kiulinzi wa Iran ni kitendo cha jinai ambacho kimelifanya faili la vitendo vya kigaidi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa zito zaidi.
-
Wamorocco wachoma moto bendera ya Israel katika kuonyesha mshikamano wao na Palestina
Dec 01, 2020 07:35Wananchi wa Morocco wamechoma bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikana na Taifa la Palestina.
-
Harakati ya Polisario yashambulia ngome za jeshi la Morocco
Nov 28, 2020 04:40Harakati ya Polisario imezishambulia ngome za Morocco katika eneo la Karkarat kusini mwa Sahaha Magharibi.