Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Morocco

  • Libya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge ya mashariki na magharibi mwa nchi

    Libya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge ya mashariki na magharibi mwa nchi

    Nov 23, 2020 13:07

    Wabunge wa Libya wanajiandaa kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge mawili ya nchi hiyo yenye makao yao mashariki na magharibi mwa nchi.

  • Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Nov 13, 2020 01:34

    Mazungumzo baina ya pande mbalimbali za Libya yanaendelea Tunis, mji mkuu wa Tunisia kwa kusimamiwa na Umoja wa Mataifa. Lengo la mazungumzo hayo ni kuleta amani ya kudumu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Taarifa za karibuni kabisa zinasema kuwa, washiriki wa mazungumzo hayo wamefikia makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya katika kipindi kisichopindukia miezi 18 ijayo.

  • Mivutano yaongezeka kati ya Morocco na harakati ya Polisario

    Mivutano yaongezeka kati ya Morocco na harakati ya Polisario

    Nov 09, 2020 04:34

    Mfalme wa Morocco ametuma ujumbe mkali kwa harakati ya Polisario na kueleza kuwa Rabat itakabiliana kwa nguvu na umakini na jitihada zozote zenye lengo la kuvuruga amani ya maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.

  • Wananchi wa Morocco wapinga hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Wananchi wa Morocco wapinga hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Oct 25, 2020 07:52

    Shakhsia wa kisiasa na kidini wa Morocco wamelaani hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel. Wametoa tamko hilo katika mkutano wao kwa njia ya video.

  • Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu Libya yaanza nchini Morocco

    Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu Libya yaanza nchini Morocco

    Oct 03, 2020 07:49

    Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya imeanza katika katika mji wa Bouznika huko nchini Morocco ikiwa ni katika juhudi za kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Sep 06, 2020 02:27

    Mazungumzo baina ya pande mbili hasimu nchini Libya yalianza jana Jumamosi katika viunga vya mji mkuu wa Moroco Rabat.

  • Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya

    Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya

    Jun 08, 2020 12:04

    Serikali ya Morocco imepinga mpango wa Misri kuhusu Libya na kusisitiza kuwa muafaka wa kisiasa wa al Sakhirat ni marejeo asili ya ufumbuzi wa mgogoro wa Libya.

  • Kiongozi wa kundi la al-Qaeda kaskazini mwa Afrika auawa nchini Mali

    Kiongozi wa kundi la al-Qaeda kaskazini mwa Afrika auawa nchini Mali

    Jun 06, 2020 07:53

    Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo ya Ulaya limefanikiwa kumuua kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika eneo la Maghreb kaskazini mwa Afrika (Aqim) huko nchini Mali.

  • Maelfu wakamatwa Morocco baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari kuhusu corona

    Maelfu wakamatwa Morocco baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari kuhusu corona

    Apr 14, 2020 02:31

    Watu zaidi ya 4,300 wamekamatwa nchini Morocco katika kipindi cha siku chache zilizopita baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari ambayo inatekelezwa ili kuzuia kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto

    Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto

    Mar 12, 2020 08:05

    Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Morocco na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Abu Dhabi kukataa kutuma balozi mpya mjini Rabbat, na Morocco nayo imeamua kushusha chini kabisa kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na Imarati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS