-
Baada ya mihadarati ya kasumba, Taliban yapiga marufuku ulimaji bangi Afghanistan
Mar 19, 2023 12:18Baada ya kupigwa marufuku ulimaji wa mipopi, mmea unaozalisha mhadarati wa kasumba, kwa amri ya kiongozi wa Taliban, ulimaji wa mimea ya bangi pia umepigwa marufuku nchini Afghanistan.
-
Ukulima wa mipopi umeshamiri Afghanistan kutokana na vikwazo ilivyowekewa Taliban
Nov 10, 2021 02:40Ukulima wa mipopi inayozalisha mihadarati ya kasumba umeongezeka nchini Afghanistan kutokana na vikwazo lilivyowekewa kundi la Taliban linalotawala nchi hiyo kwa sasa.