-
Kukiri Grossi kuhusu kutokuwepo mpango wa kijeshi wa nyuklia nchini Iran
Nov 24, 2022 02:22Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA akijibu swali kuhusu uwezekano wa Iran kupata bomu la nyuklia amesema: "Katika kiwango cha sasa cha uzalishaji urani iliyorutubishwa, Iran imeweza kuzalisha kiwango cha kutosha cha kuiwezesha kutengeneza zaidi ya kifaa kimoja (cha mlipuko) iwapo itataka kufanya hivyo."
-
Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi
Dec 08, 2021 02:56Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amekiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi.
-
Russia yakadhibisha madai ya gazeti la Marekani kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran
Feb 06, 2021 14:47Mwakilishi wa Russia katika jumuiya za kimataifa mjini Vienna amekadhibisha madai yaliyotolewa na gazeti moja la Marekani kuhusiana na miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran.
-
Sisitizo la Rais Putin la kuwa wazi kusiko na mithili miradi ya nyuklia ya Iran
May 17, 2019 02:29Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 huko Vienna Austria kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1.
-
Ripoti ya siri ya UN: Korea Kaskazini inajizatiti kulinda nguvu zake za makombora na silaha za nyuklia
Feb 05, 2019 15:50Ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa, Korea Kaskazini inaendeleza shughuli zake za kijeshi za kulinda nguvu na uwezo wake wa makombora na silaha za nyuklia ili kuhakikisha haziwezi kuangamizwa kwa mashambulio ya kijeshi.