-
UNICEF: Usitishaji vita Gaza ni fursa muhimu ya kukidhi mahitaji ya watoto
Oct 27, 2025 23:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaweza kuwa "fursa muhimu" ya kulinda maisha, utu na mahitaji muhimu ya watoto milioni moja wa Kipalestina.
-
UN: Mashambulizi ya Israel dhidi ya magari ya wagonjwa ni jinai ya kivita
Apr 04, 2025 03:34Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amesema kuwa hatua ya Israel ya kufyatulia risasi magari ya wagonjwa huo Ghaza inaweza kuwa jinai ya kivita.
-
Msamaha wa Trump kwa watenda jinai za kivita wa Black Water; kuzifanya hazina thamani roho na maisha ya raia wasio Wamarekani
Dec 24, 2020 07:30Rais Donald Trump wa Marekani ambaye yuko kwenye siku za mwishomwisho za uongozi wake, ametoa msamaha kwa baadhi ya wahalifu wa kisiasa na watenda jinai za kivita.
-
"Jinai za Marekani ziwekwe paruwanja kimataifa"
Nov 04, 2016 12:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja Marekani kama adui nambari moja wa Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza udharura wa kuanikwa hadharani jinai za Washington kimataifa.