-
Maulidi ya Mtume SAW yaadhimishwa kwa sherehe kubwa Somalia, yatangazwa sikukuu rasmi ya kitaifa
Sep 05, 2025 14:45Maelfu ya Waislamu nchini Somalia jana Alkhamisi, waliandamana mitaani katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu kuadhimisha siku aliyozaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW, huku Wizara ya Kazi na Masuala ya Kijamii ikiitangaza kuwa ni sikukuu ya kitaifa na siku rasmi ya mapumziko kuadhimisha tukio hilo.
-
Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu
Oct 24, 2021 15:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (SAW) kulifungua ukurasa mpya katika maisha ya mwanadamu.
-
Mbunge wa chama cha Leba ataka sheria ya kuwaadhibu wanaomvunjia heshima Mtume (saw)
Jul 11, 2021 04:42Mbunge wa Uingereza ametetea heshima ya Mtume Muhammad (saw) katika hotuba ya kupendeza kwenye Bunge la nchi hiyo, akiangazia mashinikizo ya kiroho na madhara yaliyosababishwa kwa Waislamu ulimwenguni kote kutokana na katuni na picha zinazochapishwa mara kwa mara barani Ulaya zikimvunjia heshima Nabii huyo wa Mwenyezi Mungu.
-
Pakistan yasikitishwa na Charlie Hebdo kumvunjia tena heshima Mtume SAW
Sep 02, 2020 07:57Pakistan imelaani vikali uamuzi wa jarida linalochapishwa nchini Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Mfalme wa Morocco awaachia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi
Nov 10, 2019 07:23Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco ametangaza msahama kwa wafungwa 300 kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mazazi ya Mtume Muhammad (SAW).