-
Jen. Safavi: Sera ya muqawama inazidi kuimarika na kupata nguvu
Sep 28, 2022 04:47Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, stratejia ya muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi na miongoni mwa mataifa yanayopenda haki duniani inazidi kuimarika na kupata nguvu, na bila shaka nguvu hizo zitafelisha njama za kambi ya ubeberu.
-
Iran: Tuko tayari kuzipa nchi nyingine uzoefu wetu wa kupambana na vikwazo kwa miongo minne
Aug 29, 2022 02:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa nchi nyingine rafiki, uzoefu wake wa kukabiliana na vikwazo kwa zaidi ya miaka 40 na kuvigeuza vikwazo hivyo kuwa fursa ya maendeleo na kujitegemea kila upande.
-
Iran: Muqawama wa Kiislamu hauishii tu katika ukanda wa Asia Magharibi
Aug 15, 2022 02:36Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama na mapambano ya Kiislamu si kitu cha kuishia kwenye eneo moja tu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wazungumzia jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 07, 2022 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo na mwenzake wa Qatar na kusema: "Harakati za Mapambano (muqawama) zina mpango kamili wa kutoa jibu kali na lenye taathira kwa jinai za utawala wa Kizayuni."
-
Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini
Aug 05, 2022 07:54Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.
-
Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni
Aug 04, 2022 22:26Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
-
"Kambi ya muqawama iungane ili iweze kuwafukuza askari wa US katika eneo"
Jul 21, 2022 07:39Afisa wa ngazi ya juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za kimuqawama zinapaswa kuendelea kushirikiana na kuimarisha uhusiano wao ili zifanikiwe kuwatimua wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Syria na katika eneo lote la Asia Magharibi.
-
Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria
Jul 21, 2022 03:04Rais Ebrahim Raeisi wa Iran amesema ana yakini kuwa Syria ina mustakakbali mwema huku akiwapongeza wananchi wa Syria kwa mapambano na muqawama katika kipindi cha miaka 11 ya vita dhidi ya nchi hiyo ambavyo vinaungwa mkono na madola ya kigeni.
-
Makundi ya muqawama Palestina yamkosoa Abbas kukutana na Gantz
Jul 09, 2022 03:05Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amekosolewa vikali na makundi ya muqawama ya Palestina, kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benny Gantz.
-
Rais Maduro: Sisi ni sehemu ya Mrengo wa Muqawama
Jun 21, 2022 03:16Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema Mrengo wa Muqawama haujajibana kwa nchi fulani tu duniani, lakini unawahusu watu wote wanaopambana na ukoloni na madola ya kibeberu.