Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani

    Jun 12, 2022 04:33

    Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.

  • Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao

    Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao

    Jun 12, 2022 03:23

    Duru za kiusalama huko Palestina zimedokeza kuwa, vikosi vya muqawama vya nchi hiyo vimefanyia majaribio makombora yao katika fukwe za Ukanda wa Gaza.

  • Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani

    Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani

    May 27, 2022 06:40

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 22 ya ushindi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi Wazayuni na kusema, Wazayuni walionja ladha chungu ya kwanza ya kushindwa baada ya kuondoka kwa madhila huko kusini mwa Lebanon.

  • Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha

    Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha

    May 10, 2022 00:03

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah ameashiria uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni na kusema tatizo la waliowengi nchini Lebanon si silaha za Hizbullah au Muqawama bali ni hali ya maisha.

  • Rais wa Iran: Mustakabali wa eneo hili utaamuliwa na wanamapambano, sio meza ya mazungumzo

    Rais wa Iran: Mustakabali wa eneo hili utaamuliwa na wanamapambano, sio meza ya mazungumzo

    May 08, 2022 22:43

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kitakachoamua mustakabali wa eneo la Asia Magharibi na Palestina sio meza za mazungumzo na makubaliano kama yale ya "Oslo", "Camp David" na" Muamala wa Karne", bali muqawama na mapambano ya mataifa ndiyo yatakayoamua na kupanga utaratibu mpya wa kanda hiyo.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Apr 30, 2022 06:59

    Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Ijumaa alihutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo alitaja dalili kadhaa zenye kutia matumaini kuhusu mustakbali tofauti kwa maslahi ya wananchi wa Palestina ikiwemo kupanuliwa uwanja wa mapambano katika ardhi yote ya Palestina na mkabala wake, kudhoofika utawala ghasibu wa Kizayuni na muungaji wake mkono mkuu yaani Marekani.

  • Muqawama wa kutumia silaha; aina bora kabisa ya kupambana na utawala wa Kizayuni

    Muqawama wa kutumia silaha; aina bora kabisa ya kupambana na utawala wa Kizayuni

    Apr 27, 2022 22:12

    Makundi ya muqawama ya Palestina yametoa tamko la pamoja katika wakati huu wa kukaribia mno Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni kesho Ijumaa tarehe 29 Aprili 2022 na mbali na kuashiria jinai za utawala wa Kizayuni yamesema kwamba, mapambano ya kutumia silaha ndio muqawama bora kabisa wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni.

  • Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina

    Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina

    Apr 22, 2022 03:46

    Hussein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi itapatikana tu kwa kuondolewa kikamilifu ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina, kurejea wakimbizi wote katika ardhi zao za jadi na kuainishwa mfumo wa utawala wa baadaye wa Palestina kwa msingi wa kura ya maoni pamoja na kuundwa serikali huru katika ardhi hizo.

  • Siku ya Muqawama katika Mwezi wa Ramadhani; irada ya Wapalestina ya kukabiliana na jinai za Wazayuni

    Siku ya Muqawama katika Mwezi wa Ramadhani; irada ya Wapalestina ya kukabiliana na jinai za Wazayuni

    Apr 16, 2022 05:04

    Siku ya Ijumaa alfajiri, askari wa utawala haramu wa Israel waliwashambulia Wapalestina ndani ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo zaidi ya waumini 150 wamejeruhiwa. Jinai hiyo imewapa Wapalestina irada ya kuimarisha mapambano yao dhidi ya adui Mzayuni mtenda jinai.

  • Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Mar 25, 2022 09:53

    Spika wa Bunge la Lebanon ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama chanzo kikuu cha harakati za muqawama katika eneo la Asia Magharibi, zilizoipa ilhamu kambi ya muqawama kote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS