-
Makundi ya muqawama yailaani Australia kwa kuiita HAMAS kundi la kigaidi
Feb 18, 2022 23:26Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Nasrullah: Hizbullah ina uwezo wa kuunda ndege zisizo na rubani
Feb 16, 2022 23:48Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema harakati hiyo sasa inajiundia ndege zisizo na rubani au drone na makombora yenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa.
-
Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki
Feb 02, 2022 23:00Katibu Mkuu wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni tawi la muungano wa makundi ya muqawama wa Hashd al-Sha’abi nchini Iraq amesisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu utatoa jibu mwafaka kwa uvamizi na chokochoko mpya za jeshi la Uturuki dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi
Jan 02, 2022 23:02Moja ya maudhui muhimu kuhusiana na Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni mchango wake katika kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut
Dec 07, 2021 23:04Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema: nafasi haribifu ya Saudi Arabia nchini Lebanon imekuwa kubwa zaidi kuliko harakati chafu za ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
"Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama"
Dec 03, 2021 00:54Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu.
-
Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga
Nov 20, 2021 01:15Kufanyika safari za kidiplomasia nchini Syria ni dalili ya wazi kwamba siasa za wapinzani za kujaribu kuitenga serikali ya Damascus zimegonga mwamba.
-
Makundi ya muqawama yaonya kuhusu kuendelea hujuma dhidi ya maeneo matakatifu Palestina
Oct 27, 2021 04:39Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan makaburi ya al-Yusufiya huko Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wanamapambano Palestina walaani kuvunjiwa heshima Msikiti wa al Aqsa
Oct 08, 2021 13:22Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametangaza kuwa, kuwaruhusu Wayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa ni hatua hatari sana inayovunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
Jeshi la Israel lapatwa kiwewe likihofia kisasi cha wanamapambano wa Palestina
Sep 27, 2021 01:03Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka katika hali ya tahadhari likihofiia kisasi kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina na kuvurumishwa makombora kuelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.