-
Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari
Jul 07, 2021 06:40Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Jumatatu alitoa hotuba akiashiria hatua ya Marekani kuteka na kufunga tovuti za habari zinazofungamana na harakati za muqawama au mapamabano ya Kiislamu ambapo ametoa sababu kadha za uhasama huo wa Marekani.
-
Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni
Jun 22, 2021 03:47Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.
-
Amir Abdolahian: Siri ya ushindi wa matawalia wa kambi ya muqawama, ni umoja
May 27, 2021 06:52Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, siri ya ushindi wa mfululizo wa kambi ya muqawama ni umoja na mshikamano wake.
-
Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani
May 24, 2021 21:47Kituo cha Uratibu wa Makundi ya Muqawama ya Iraq kimetoa taarifa kikisema muhula waliokuwa wamepewa askari vamizi wa Marekani kuondoka Iraq umefika ukingoni na sambamba na hilo kumeshadidishwa oparesheni dhidi ya maeneo waliko magaidi hao wa Marekani nchini Iraq.
-
Wazayuni wakiri kipigo, wameshapata hasara ya dola milioni 160 kwa mashambulio ya muqawama
May 13, 2021 07:23Chama cha Wazalishaji Bidhaa cha utawala wa Kizayuni kimetangaza kuwa, tangu yalipoanza mashambulizi ya makombora wanamapambano wa Palestina siku chache zilizopita hadi hivi sasa, sekta ya uzalishaji bidhaa ya Israel imeshapata hasara ya dola miliioni 160.
-
Pigo la kiusalama kwa Israel, ngao yake ya makombora ya 'Kuba la Chuma' yafeli
Apr 25, 2021 21:58Katika siku za Jumatano na Alkhamisi wiki iliyopita, kulijiri matukio mawili ya kiusalama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimpeachikwa jina bandia la Israel. Matukio hayo yaliweka wazi udhaifu mkubwa wa kiusalama, kijeshi, na kijasusi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel.
-
Makundi ya muqawama ya Palestina: Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu
Apr 24, 2021 08:36Kitengo cha pamoja cha makundi ya muqawama ya Palestina kimetangaza kuwa, Quds na msikiti wa Al Aqsa ni mstari mwekundu; na uamuzi wa mwisho kuhusu matukufu mawili hayo utaamuliwa na muqawama.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani imo katika awamu ya kwanza ya kuporomoka
Apr 01, 2021 02:05Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani si ile ya miaka iliyopita na kwa sasa imo katika awamu ya kwanza ya kusambaratika, na kwamba Israel, sawa kabisa na bwana wake, inaelekea kusambaratika na kutoweka.
-
Makundi ya muqawama Iraq yaapa kujibu chokochoko mpya za Marekani
Feb 27, 2021 08:33Harakati za muqawama za Iraq zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya jeshi la Marekani yaliyolenga kambi za makundi hayo ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria, na kusisitiza kuwa, chokochoko hizo mpya za Washington hazitapita bila kupewa jibu kali.
-
Maulamaa wa Muqawama: Ushindi katika kuikomboa Quds hauna shaka
Feb 25, 2021 04:07Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa, kwa kudumisha Waislamu umoja na mshikamano, mapamban ya kuuikomboa Baytul- Muqaddas yatapa ushindi.