Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • "Shahidi Qassem Suleimani aliugeuza muqawama kuwa harakati ya ulimwengu mzima"

    Feb 04, 2021 00:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, shahidi kamanda Qassem Suleimani aliugeuza muqawama kuwa harakati ya ulimwengu mzima.

  • Nukta nne muhimu katika hotuba ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa hauli ya Qassim Suleimani

    Nukta nne muhimu katika hotuba ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa hauli ya Qassim Suleimani

    Jan 05, 2021 08:17

    Hotuba ya Samahat Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu wauawe shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashd Al-Shaabi ilikuwa na nukta kadhaa muhimu na zenye mazingatio makubwa.

  • Matawi 12 ya kijeshi ya makundi ya muqawama ya Palestina yanashiriki katika manuva ya Gaza

    Matawi 12 ya kijeshi ya makundi ya muqawama ya Palestina yanashiriki katika manuva ya Gaza

    Dec 29, 2020 04:43

    Matawi 12 ya kijeshi ya makundi ya Muqawama ya Palestina yanatazamiwa kushiriki katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanyika leo kwa mara ya kwanza katika Ukanda wa Gaza.

  • Maulamaa wa Muqawama  wasisitiza kudumishwa mapambano dhidi ya maadui

    Maulamaa wa Muqawama wasisitiza kudumishwa mapambano dhidi ya maadui

    Dec 09, 2020 22:00

    Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Muqawama imesisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano ya makundi ya muqawama dhidi ya senario za chuki za maadui dhidi ya ulimwengu wa Kiislamu.

  • Kuondoka askari wa Marekani nchini Iraq; msimamo wa serikali ya Baghdad na makundi ya mapambano

    Kuondoka askari wa Marekani nchini Iraq; msimamo wa serikali ya Baghdad na makundi ya mapambano

    Nov 24, 2020 23:12

    Katika hali ambayo viongozi wa serikali ya Baghdad wanasema kuwa askari 500 wa Marekani wataanza kutoka katika ardhi ya Iraq miezi miwili ijayo, Sheikh Qais al-Khaz'ali, Katibu Mkuu wa Harakati ya Asaib Ahlul Haq, karibuni hivi alitetea silaha za harakati hiyo ya mapambano ya Kiislamu akisisitiza kuwa muhula wa usitishaji vita na Marekani umekwisha.

  • HAMAS: Njia pekee ya kukabiliana na uvamizi ni muqawama

    HAMAS: Njia pekee ya kukabiliana na uvamizi ni muqawama

    Oct 17, 2020 04:20

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS sambamba na kukataa takwa la Marekani la kufanya mazungumzo amesema kuwa, njia pejkee ya kukabiliana na uvamizi nai muqawama na mapambano.

  • Jihadul Islami: Muqawama ndio utakaowafurusha Wazayuni Palestina

    Jihadul Islami: Muqawama ndio utakaowafurusha Wazayuni Palestina

    Sep 16, 2020 21:51

    Mjumbe wa ngazi za juu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuwa, muqawama ndiyo njia pekee ya kuwatimua Wazayuni katika ardhi wanazozikalia kwa mabavu.

  • Ismail Hania: Mapambano ndio chaguo bora la kukabiliana na wavamizi

    Ismail Hania: Mapambano ndio chaguo bora la kukabiliana na wavamizi

    Sep 09, 2020 03:36

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, muqawama na mapambano ndio njia bora na athirifu kwa ajili ya kukabiliana na utawala haramu wa Israel.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Jun 26, 2020 09:01

    Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.

  • Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Jun 10, 2020 22:58

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya Sheria na Kimataifa amesema wananchi wa Palestina hawana chaguo jingine isipokuwa mapambano na muqawama ili waweze kupata haki zao za msingi na kujiamulia mustakabali wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS