Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Rais Rouhani alipongeza taifa la Lebanon kwa kuwadia sikukuu ya ushindi wa muqawama

    Rais Rouhani alipongeza taifa la Lebanon kwa kuwadia sikukuu ya ushindi wa muqawama

    May 24, 2020 23:27

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelipongeza taifa la Lebanon kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya muqawama, yaani maadhimisho ya ushindi mkubwa na wa kujivunia wa wananchi wa Lebanon dhidi ya wavamizi wa nchi yao, yaani utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • IRGC: Palestina ni kadhia muhimu zaidi katika eneo, jamii ya kimataifa na ulimwengu wa Kiislamu

    IRGC: Palestina ni kadhia muhimu zaidi katika eneo, jamii ya kimataifa na ulimwengu wa Kiislamu

    May 21, 2020 06:10

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, kadhia ya Palestina ingali kadhia muhimu zaidi katika eneo, kimataifa na katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Hotuba za viongozi wa mrengo wa Mapambano ya Kiislamu kuhusu Siku ya Kimataifa ya Quds

    Hotuba za viongozi wa mrengo wa Mapambano ya Kiislamu kuhusu Siku ya Kimataifa ya Quds

    May 21, 2020 04:43

    Viongozi wa mrengo wa Mapambanoya Kiislamu katika eneo la Asia Magharibi jana Jumatano na katika kukaribia maadhimisho ya mwaka wa 41 wa Siku ya Kimataifa ya Quds walitoa hotuba muhimu kuhusu siku hiyo na suala zima la Palestina.

  • Mapambano ni njia pekee ya Wapalestina kujibu jinai za Wazayuni

    Mapambano ni njia pekee ya Wapalestina kujibu jinai za Wazayuni

    May 18, 2020 05:56

    Huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia, Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wamefanya maandamano na kusisitiza kwamba mapambano na muqawama wa pande zote ndio njia pekee ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hujuma za vyombo vya habari vya Saudia dhidi ya mhimili wa Muqawama

    Hujuma za vyombo vya habari vya Saudia dhidi ya mhimili wa Muqawama

    May 16, 2020 06:00

    Baada ya kanali ya televisheni ya MBC inayomilikiwa na utawala wa Aal Saud kuonyesha filamu ya mfuatano iliyo dhidi ya Palestina, hivi karibuni televisheni hiyo imechukua hatua nyingine mpya kwa kumtusi na kumvunjia heshima Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, aliyekuwa Naibu Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq.

  • Muqawama; njia pekee ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Kizayuni

    Muqawama; njia pekee ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Kizayuni

    May 14, 2020 02:17

    Viongozi wa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina pamoja na wananchi wamesisitiza kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni muqawama au mapambano.

  • Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib

    Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib

    May 10, 2020 03:45

    Ijumaa iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon aliufananisha mwenendo wa Marekani katika kukabiliana na muqawama kuwa ni sawa na mwenendo ule ule wa viongozi wa Kiquraish dhidi ya Mtume Muhammad (saw) katika mzingiro wa (bonde la) Shi'b Abi Twalib.

  • Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Apr 14, 2020 07:09

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.

  • HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'

    HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'

    Feb 26, 2020 09:23

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria jibu la wanamapambano wa Palestina dhidi ya mashambulio ya karibuni ya Wazayuni na kusisitiza kuwa: Muqawama utaushinda pia mpango wa Muamala wa Karne.

  • Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria

    Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria

    Jan 31, 2020 08:29

    Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya kigaidi katika maeneo ya nchi hiyo yaliyokuwa yamevamiwa na kukaliwa kwa mabavu na makundi hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS