-
Ugaidi, vikwazo na mauaji ya kigaidi, stratijia tatu za Magharibi dhidi ya kambi ya muqawama
Jan 19, 2020 07:27Wizara ya Fedha ya Uingereza katika hatua yake ya uhasama, imeliweka kikamilifu jina la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika orodha yake ya taasisi ambazo kwa mtazamo wa London ni za kigaidi.
-
Sayyid Nasrullah: Vikosi vya Muqawama kote duniani kujibu mapigo ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 03, 2020 10:25Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema vikosi vya wanamuqawama kote duniani vina jukumu la kuwaadhibu wale waliohusika na mauaji ya kikatili ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Meja Jenerali Qassem Solaimani.
-
Ali Akbar Velayati: Iran itasimama imara kukabiliana na njama chafu za maadui za kuzigawa nchi za Asia Magharibi
Dec 28, 2019 08:43Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Iran inapinga aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi za eneo la Asia Magharibi, kama ambavyo itasimama imara kukabiliana na dhulma, njama, uvamizi na ajenda chafu za maadui kwa ajili ya kuzidhoofisha na kuzigawa nchi za eneo.
-
Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel
Nov 17, 2019 23:03Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, silaha za muqawama ndizo pekee zinazodhamini usalama wa taifa la Palestina na kuilazimisha Israel ibaki kwenye makubaliano ya kusimamisha vita.
-
Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Oct 21, 2019 08:57Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Jihad Islami: Mapambano ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina
Oct 06, 2019 08:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema: "Mapambano na muqawama ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina na Wapalestina ni mhimili mkuu wa mapambano hayo."
-
Salami: Stratijia ya muqawama imepelekea adui akose irada
Sep 30, 2019 23:18Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema stratijia ya muqawama au mapambano ya Kiislamu imepelekea adui adorore na akose irada. Ameongeza kuwa, hivi sasa maadui wameanza kudidimia kwa namna ambayo hawawezi kupata nguvu tena na hifadhi zao za kistratijia zinaelekea kumalizika.
-
Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 27, 2019 08:55Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ni haki ya wanamapambano na wanamuqawama kutoa jibu dhidi ya uchokozi wa aina yoyote ile wa adui Mzayuni.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia
Sep 10, 2019 08:11Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.
-
Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani
Aug 23, 2019 22:10Batalioni za Hizbullah ya Iraq zimetoa taarifa zikiitahadharisha Marekani kuhusiana na kuendeleza mashambulizi dhidi ya kambi na vituo vya harakati ya wananchi ya nchi hiyo ya al Hashdu al Shaabi.