-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imarati imeusaliti Ulimwengu wa Kiislamu na Palestina
Sep 01, 2020 13:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja hatua ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni kuwa ni kuusaliti Ulimwengu wa Kiislamu, Ulimwengu wa Kiarabu na nchi za eneo na kadhia muhimu ya Palestina.
-
Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram
Sep 01, 2019 07:52Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, jeshi la polisi nchini Nigeria limetoa amri ya kushadidishwa ukandamizaji dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waombolezaji Iran, duniani wajitokeza kwa wingi kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS
Sep 20, 2018 07:35Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wamejotokeza kwa mamilioni katika Siku ya Ashura kukumbuka siku alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS
Sep 20, 2018 03:53Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.