-
Kanusho la Iran kwa madai ya uwongo ya Marekani ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump
Jul 18, 2024 10:40Baada ya tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani na mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024, baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani kwa mara nyingine vikiendeleza propaganda za chuki dhidi ya Iran (Iranphobia) vilidai kuweko mkono wa Iran katika tukio hilo.