-
Obama kuhutubia kuhusu mpango wake wa bima ya afya kwa ujira wa dola laki nne
Apr 26, 2017 07:51Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama atapokea donge nono la fedha kwa hotuba yake ya kwanza atakayotoa kwa malipo katika mkutano wa huduma ya afya utakaofanyika mwezi Septemba mwaka huu.
-
Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama
Mar 21, 2017 03:16Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya Gallup nchini Marekani imetangaza kuwa uungaji mkono wa wananchi kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump unaendelea kupungua sambamba na kuendelea kuibuka kashfa zinazohusiana na sakata la kuwepo mawasiliano kati ya timu yake ya kampeni na Russia katika kipindi cha kampeni za uchaguzi uliopita na vilevile kuhusu madai yake ya kudukuliwa mazungumzo yake ya simu na mtangulizi wake Barack Obama.
-
Trump asema Obama anaongoza maandamano, uvujaji siri
Feb 28, 2017 16:12Rais Donald Trump wa Marekani amesema mtangulizi wake, Barack Obama, ndiye binafsi anayesimamia uvujishaji wa sira za serikali na maandamano dhidi yake yanayoendelea kote katika nchi hiyo.
-
Nouri al-Maliki: Kundi la ISIS ni mzawa wa serikali ya Barack Obama
Jan 19, 2017 14:04Nouri al-Maliki, Mkuu wa Muungano wa Utawala wa sheria na makamu wa rais wa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh, ni mzaliwa wa serikali ya Rais Barack Obama wa Marekani anayeondoka madarakani.
-
White House yakiri, Obama ameshindwa kufunga gereza la Guantanamo
Jan 19, 2017 02:56Ikulu ya Marekani White House imekiri kuwa Rais Barack Obama wa nchi hiyo ameshindwa kufunga gereza la kutisha la Guantanamo mwishoni mwa muhula wake huu wa pili kama alivyoahidi.
-
Obama aaga, asema ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Marekani haukubaliki
Jan 11, 2017 15:14Rais Barack Obama wa Marekani ametahadharisha kuhusu mwenendo wa kudumishwa mifarakano na ubaguzi katika nchi hiyo.
-
Trump amuonya Obama dhidi ya kuwahamisha wafungwa wa Gitmo
Jan 04, 2017 07:25Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemuonya rais anayeondoka wa nchi hiyo Barack Obama juu ya kuwahamisha wafungwa wa jela ya Guantanamo iliyoko nchini Cuba.
-
Trump amshukuru Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani
Dec 31, 2016 07:02Donald Trump, Rais mteule wa Marekani jana Ijumaa kupitia ujumbe wa Twitter alimshukuru Rais Vladimir Putin wa Russia kwa kutolipiza kisasi kitendo cha kufukuzwa wanadiplomasia wa nchini hiyo huko Marekani ambacho kilichukuliwa na serikali ya Washington siku ya Alkhamisi, na kusema kuwa daima amekuwa akimtambua Putin kuwa ni kiongozi anayetumia busara.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Dec 30, 2016 15:22Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Kushadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump na Rais Obama
Dec 29, 2016 11:03Sambamba na kukaribia siku ya kuapishwa rais mpya wa Marekani yaani tarehe 20 ya mwezi ujao wa Januari kumeshadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump Rais mteule wa Marekani na Barack Obama rais wa nchi hiyo anayemaliza muda wake wa uongozi.