-
Iran na Oman zasisitizia udharura wa kukomeshwa mara moja jinai za Israel Ghaza
Mar 25, 2024 02:43Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya simu na kutilia mkazo wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 09:00Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Safari za ndege baina ya Iran na Oman zaongezeka maradufu, biashara yazidi kustawi
Feb 28, 2024 23:33Wakuu wa mashirika ya ndege ya Iran na Oman wamesema kuwa, safari za ndege baina ya nchi hizi mbili ndugu za Kisilamu zimeongezeka maradufu hivi sasa kutoka safari 30 hadi 60 kwa wiki.
-
Mufti wa Oman: Kujitahidi kwa Ukombozi wa Al-Aqsa ni wajibu kwa Waislamu wote
Jan 22, 2024 04:01Mufti Mkuu wa Oman kwa mara nyingine amesisitiza umuhimu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel na akasema kuukomboa ni jukumu la Waislamu wote duniani.
-
Mufti wa Oman alaani wanaotaka kudhoofisha muqawama wa Wapalestina
Dec 09, 2023 23:37Mufti Mkuu wa Oman amewakosoa wale wanaojaribu kudhoofisha harakati za mapambano ya Kiislamu (muqawama) za Wapalestina dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Oman yataka Israel ibebeshwe dhima kwa jinai zake huko Gaza
Oct 31, 2023 23:32Oman imeitaka jamii ya kimataifa iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake za kutisha katika Ukanda wa Gaza, na pia dunia ichukue hatua za dharura za kukomesha mauaji ya halaiki ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Baqeri: Ghuba ya Uajemi inahitaji usalama wa nchi za eneo tu
Sep 21, 2023 23:14Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uwepo wa kijeshi wa maajinabi katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili zina uwezo wa kujidhaminia usalama wao.
-
Viongozi wa Iran na Oman watilia mkazo kupanuliwa mashirikiano baina ya nchi mbili
Aug 01, 2023 10:06Viongozi wa Iran na Oman wamesisitiza na kutilia mkazo nia ziliyonayo Tehran na Muscat ya kuinua kwa kiwango na upeo wa juu zaidi uhusiano wa nchi mbili na kupanua zaidi maelewano baina ya pande mbili.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri
May 29, 2023 08:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Iran inakaribisha azma ya kufufuliwa uhusiano wake na Misri.
-
Sultani Haitham wa Oman awasili nchini na kulakiwa rasmi na Rais Raisi
May 28, 2023 10:57Hafla rasmi ya kumkaribisha Sultani Haitham Bin Tariq Al Saeed wa Oman, ambaye ametembelea Iran kwa mara ya kwanza akiwa Mfalme wa Oman, imefanyika katika jumba la kiutamaduni na kihistoria la Saad Abad hapa mjini Tehran.