-
Kugonga mwamba juhudi za Israel za kuanzisha uhusiano wa kawaida na Pakistan
Sep 05, 2022 02:28Viongozi kadhaa wa kidini, kisiasa, wanafikra na wasomi wa Kipakistan wamesema katika kongamano la kifikra kuhusu Palestina kwamba, juhudi za hivi karibuni za Marekani na vibaraka wake za kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Pakistan na Israel zimegonga mwamba.
-
Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani
Sep 02, 2022 07:49Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi.
-
Iran yatangaza utayari wa kuwasaidia waathirika wa mafuriko Pakistan
Aug 28, 2022 07:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kutoa msaada wa aina yoyote kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika nchi ndugu na jirani ya Pakistan.
-
Hali ya dharura yatangazwa Pakistan baada ya mafuriko kuua zaidi ya 900
Aug 27, 2022 11:14Serikali ya Pakistan imetangaza hali ya dharura baada ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali za msimu kusababisha vifo vya mamia ya watu.
-
Imran Khan kufikishwa mbele ya mahakama ya kupambana na ugaidi ya Pakistan
Aug 23, 2022 07:46Joto la siasa za Pakistan linazidi kutokota na kuongeza hali ya taharuki baada ya aliyekuwa waziri mkuuu wa nchi hiyo Imran Khan kushtakiwa na Polisi chini ya sheria ya kupambana na ugaidi kufuatia matamshi ya tuhuma aliyotoa katika mkutano wa hadhara dhidi ya jaji na polisi ya nchi hiyo.
-
Putin: Ushirikiano wetu na Pakistan utaimarisha usalama wa kikanda
Aug 14, 2022 11:24Rais Vladimir Putin wa Russia amewatumia ujumbe viongozi wa Pakistan na kuwahakikishia kuwa ushirikiano baina ya nchi zao utaimarisha usalama katika ukanda huu mzima.
-
HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel
Aug 13, 2022 08:18Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo thabiti ulioonyeshwa na waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi
Jul 26, 2022 11:18Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi.
-
Mvua na mafuriko yaua watu zaidi ya 300 nchini Pakistan
Jul 26, 2022 07:14Watu wasiopungua 310 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
Kutuhumiwa India kuwa inaunga mkono makundi ya magaidi yaliyoko Afghanistan
Jul 21, 2022 04:29Balozi wa Pakistan mjini Kabul amesema, India inayaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan ili kuvuruga amani na usalama ndani ya Pakistan.